NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #101
Kuna kazi Hapongoja aje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kazi Hapongoja aje
Ningemsalimu angejishitukiaOkay that's great.. Ulijamiiana nae sasa haha?? Hata ka salamu???
Kwanini ajishtukie kwani ulikua na ubaya nae?Ningemsalimu angejishitukia
mkuu Miss Natafuta ni dume la mbegu[emoji23] [emoji23]hawez kuwa miss chaga,ni dem mmoja mkali sema kafupi ;huyo mnuka shombo atakuwa miss natafuta
HahahahaHmkuu Miss Natafuta ni dume la mbegu[emoji23] [emoji23]
Wabongo wapo fastaKwanini ajishtukie kwani ulikua na ubaya nae?
mkuu bora wewe mimi nlikuwa nahangaika nae pm kumbe ni beki tatu wa brother angu anasumbua humu jf balaaHabari za kazi wakuu kama mnavyoona ona Hapo juu kichwa cha Habari kinavyojieleza. Leo nimebahatika kumuona laivu mdada maarufu Sana humu jamii forum.
Huyu dada ni machachali Sana na ni mtu maarufu Sana na Vijana wengi huwa wanamfuata pm nikiwepo na Mimi mmoja wapo nilisha Wahi kumfuata pm lakini hata kujibu meseji yangu hakujibu kabisa.
Leo Nilipenda gari kutokea gongolamboto hilo gari lilikuwa linaelekea feli hukooooooo kivukoni.
Nilikaa na binti mmoja kajifunga kitambaa kichwani ni cha rangi ya kijani kajitanda Kanga na chini alikuwa amevaa yebo yebo na alikuwa amepakata ndoo Kutokana ilikuwa ni asubuhi Sana ni dhahir alikuwa anawahi Samaki feli.
Alitoa smartfone yake sijui ni aina gani Dah dikuweza kuitambua kabisa maana ilikuwa imechoka Sana Inaonekana imepata dhoruba za kutosha.
Mara ulimuona anaingia kwenye program ya jamii forum Hiyo ilinishitua kidogo kuona yule dadA anaingia jf.
Nilikuwa attention Sana mara akaingia upande wa pm ilionekana Anasoma meseji zake Hapo ndipo nilipogundua yeye ni nan baada ya kufanikiwa kuona id yake Kipindi anajibu meseji.
Kwanza Nina furaha Sana Huyo niliemuona jina lake linaanzia na MISS.
dah kumbe ni mtu WA kawaida tu na ni msaka tonge hapa mjini Asante Sana mungu endelea kunionyesha na wengine maana huwa wananitukana PM.
Kama na Ww Ulishawah kumuona mwana jamii yeyote katika mazingira yeyote funguka.
Nawasilisha hoja.
Okay that's great.. Ulijamiiana nae sasa haha?? Hata ka salamu???
Kama hii yako mkuuKuna baadh ya comments ukisoma unaona wazi kuna haja ya mhusika kwenda mental facility kama wiki walau
Mkazieeee atakuja tuNjoo pm tujamiane jamani!
Hahahahahahaahmkuu bora wewe mimi nlikuwa nahangaika nae pm kumbe ni beki tatu wa brother angu anasumbua humu jf balaa
Mimi nimepona. Una swali lingine.Kama hii yako mkuu
Hapana labda WwMimi nimepona. Una swali lingine.
Mungu akubariki upone Huo uendawazim mkuuhahaha jf ina wanadamu wa kila aina mpaka wendawazimu
mbona kama wewe ndo kichaaMungu akubariki upone Huo uendawazim mkuu
Basi wote vichaambona kama wewe ndo kichaa
kikikikikiBasi wote vichaa
kikikikiki