NIMEKUFA, NIMEOZA KWA LIZZYMIND "LizzY"

NIMEKUFA, NIMEOZA KWA LIZZYMIND "LizzY"

Hivi haya yote watu wanayoyaandika humu huwa wapo serious kweli au ni utani?
 
Nimefurahi kwa kutambua nachotaka mamii siku zinazidi kwenda sioni mabadiliko....hali imekuwa ngumu Lizzy...
Ahh nimebadili mawazo maana naona mnataka kumpindua baba mchungaji!Sitaki kuwarahisishia!
 
Hashycool kumbe wamuheshimu bwana mchungaji....safi sana.

Lizzy mamii, I was just suggesting...nimeamini we na mchungaji ni damu damu. Kina G na uporoto01 kaeni pembeni.

Weee unanidai SENKSI!
 
Kwako LIZZYMIND "Lizzy" mwanamke pekee wa JF ulieubalasa MTIMA wangu, napenda kukufahamisha kuwa mimi ni kijana MTANASHATI nilitokea kukupenda sana, sikuli kwaajili yako, SILALI NAKUOTA wewe, nikinywa maji nakuona kwenye glass, nikiangalia TV nakuona wewe, nikiangalia bingu naliona jina lako angani, nkiangalia mwezi naona avatar yako, umbo lako namba 8 lanifanya nsifikirie kukusaliti, sauti yako ya upole yanipa kigugumizi, pua yako ya kisomali yanipa hamu nawe. Naomba niwe wako tafadhari kabla sijajiua...!!
hehehe mkuu kacheki afya yako, nazani umekula kitu kimekuzuru kidogo. dah! jf bana.
 
Weee unanidai SENKSI!

sasa Lizzy ww ni matured woman, mpatie aonje mwenzako, mbona mgumu hivyo? Rev anagonga nje
kama kawa ww unabana ukizani kuna mwaminifu, mwonee huruma mpe dudu kidogo hujui
unamwonea, si ajabu akikupa mhogo wake utamsahau Rev kwa utamu na kuona new world
 
Jamani mie Miss Judith anaisuuza roho yangu kweli huyu dada...! I wish...!
 
sasa Lizzy ww ni matured woman, mpatie aonje mwenzako, mbona mgumu hivyo? Rev anagonga nje
kama kawa ww unabana ukizani kuna mwaminifu, mwonee huruma mpe dudu kidogo hujui
unamwonea, si ajabu akikupa mhogo wake utamsahau Rev kwa utamu na kuona new world
Unaonaje ukimpa wewe?
 
Asante shem wangu wa ukweli!

images

 
Nimeipenda hiyo ya kumalizia wako daima.... hata kama ana ubavu wake 'baba bmchungaji' lakini atabaki kuwa wake daima... sihamasishi usaliti
 
Back
Top Bottom