Nimekuja Gundua kwanini watu wa Dar wavivu kupika, na kutegemea fast foods.

Nimekuja Gundua kwanini watu wa Dar wavivu kupika, na kutegemea fast foods.

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Sio kwamba hawana muda,

Ni utamaduni, watu wamezoea kukaa vibarazani kupashana umbea.

Wengi kuishi vyumba vya kupanga, do kupika unampika nani kama sio wewe mwenyewe na uvivu wa kupika mwenyewe daily unakufanya kuchoka.

Alaf ile dhana ya mtu kununua mazaga na kwenda kupika inamtia uvivu, utegemezi wa fast foods umefanya kuona kupika is a wastage of time, na ndio maana majitu yamenenepeana bila kuwa na afya because miili ina mafuta yaliyopitilza.
 
.... na uvivu wa kupika
kwenye masomo ya Management kuna kitu kinaitwa 'make or buy' decision. Kwa kuzingatia rasilimali nyingine (nguvu, muda etc), mtu anaweza akanunua huduma nyingine ili kuboresha ufanisi.

Hapo kijijini ulipojenga kibanda unachokiita nyumba, sidhani kama matofali ulifyatua mwenyewe, ukachimba msingi, ukainua kuta, ukatengeneza kenchi, ukatafuta majani ya kuezekea, ukaezeka, yaani kwa ufupi ukafanya kila kitu mwenyewe.

Kwa vyovyote kuna baadhi ya huduma katika baadhi ya nyakati utanunua, vivyo hivyo huyo anayenunua chakula huzingatia hayo pia. Kutumia masaa 6 kati ya 24 kwa ajili ya kupikapika nayo inahitaji tafakari
 
Back
Top Bottom