Utasinzia ofisini au wee ndio boss ,hili swala la usingizi linahitaji mjadalaNimeamka saa 9 na sina mpango wa kulala, kwanza kumessha pambazuka 5:55
Hapa utakuta na wanaume wamevua na ma-shirt na kubaki vifua wazi nao wanasikiliza umbea, wanaume wa Dar kuwatetea ni kazi sanaNi utamaduni, watu wamezoea kukaa vibarazani kupashana umbea.
Hakuna sio kisinhizio kuna watu hata kazi hawana wanakesha vibarazani ila hawapiki na ukiwaambia wanakwambia hawajazoea,Naona sio uvivu japo ni factor mojawapo ,ila na pilikapilika za utafutaji ndio vinafanya wawe wanapenda fast-food
kwenye masomo ya Management kuna kitu kinaitwa 'make or buy' decision. Kwa kuzingatia rasilimali nyingine (nguvu, muda etc), mtu anaweza akanunua huduma nyingine ili kuboresha ufanisi..... na uvivu wa kupika
Sawa mkuu, mie nipo hapa kijiji jirani Utemini maeneo ya wafugaji huku...