Nimekuja Gundua kwanini watu wa Dar wavivu kupika, na kutegemea fast foods.

Unguja ndio kunanichekeshaga, Jioni mume na mke wanaongozana vibandani kula sijui watoto nyumbani wanakula nini au huwa wanawabebea take aways…

Kwa ujumla maisha ya waswahili ni tofauti sana na sisi wa mikoani.
 
Watu waishio usawa wa bahari wamekaa kizembe sana, unakuta home wanalalia mkeka kabisa, ila mambo ya kusema hata wakalime hakuna. Ni unakuta familia inategemea nyumba ya urithi tu. Na mmoja aliye fanikiwa kuwa tumia vijisenti kila mwezi.

Wadada sasa wanashindania mabwana kazi kweli kweli.
 
Kwa vyakula wanavyokula watu wa Dar na pesa wanayopoteza per day mbona wangejipikia wange pata kula vizuri kuliko chips zege
Kwa hiyo kwa mtazamo wako, chipsi zege sio chakula kizuri? Maana wengine hata tungejipikia nyumbani, basi mojawapo ya vyakula ambavyo tungejipikia ingekuwapo chipsi zege
 
Kwa hiyo kwa mtazamo wako, chipsi zege sio chakula kizuri? Maana wengine hata tungejipikia nyumbani, basi mojawapo ya vyakula ambavyo tungejipikia ingekuwapo chipsi zege
Sawa, mimi na consider chips zege kama fast food.

Japo kupika home mara moja moja sio case
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila kweli.
 
Hilo jambo halipo DSM pekee, hata majiji makubwa kama London, Turin, Paris, hadi Munich lipo

Imetokana na ubusy wa kazi na shughuli za biashara

Unakuta mtu anaishi Chamazi, halafu anafanya kazi Ilala

Kwahiyo anatoka alfajiri na kurudi usiku, mtu wa hivi hawezi kupata muda wa kupika nyumbani kwake

Zaidi zaidi ataishia kula Chipsi ama kwa mamantilie
 
Yes, ila kwa watu wa Dar hata wale waishio mitaani wasio na pilikapilika nao wanaendekeza kula fast foods na wasipike kisa uvivu.

Ni sawa kuwa wengi wanafanya kazi mbali ila wengine ni mazoea ya kula chips inageuka kuwa addiction
 
Ni kujiendekeza, ukiwa idle huwezi kukosa muda wa kupika

Kwanza kujipikia kunasaidia kupunguza gharama
 
Ni kujiendekeza, ukiwa idle huwezi kukosa muda wa kupika

Kwanza kujipikia kunasaidia kupunguza gharama
Yap, na issue ni kuwa ukienda kuishi culture ya watu wa huko ni wavivu balaa. Ila. Kupika kwenyewe ni sekunde na unakula kitu safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…