Nimekuja kubadili Tanzania waJF.

Nimekuja kubadili Tanzania waJF.

Kitu pekee unachoweza wewe ni kula tende, halua na ubwabwa!
 
Usilete kelele za udini kama wenzio,karibu sana!
 
Karibu sana jamvini mgeni.
MNYISANZU na Rweye sio vizuri kumpokea mgeni kwa mikwara namna hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Let me "hit the nail on tha head". Unataka nimwite kenge kuwa ni mamba?

MNYISANZU acha mambo yako. Mgeni usimtishe bana. Hongera KATAVI. Karibu sana JF, japo umepewa mkwala hapo juu.
 
karibu mkuu, hii ndo jf na huu ni mwanzo. Utajifunza mengi ikiwemo uvumilivu.
 
Back
Top Bottom