Nimekuja kula iddi dar ila nilichokutanacho..

Nimekuja kula iddi dar ila nilichokutanacho..

Mangi shangali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
533
Reaction score
820
Kama kichwa kinavyojieleza.
Nimetoka kote arusha ili nije kula iddi dar .
Ila tanesco wamezingua luku hazinunuliki kabisa,kwanini siku ya sikuku ndo mnafanyia watu hivi??
Ngoja nikapige bia zangu kitambaa cheupe,kama kuna mtu anataka bia za bure anakaribishwa..
Muwe 50 hata 100 mnakunywq mpaka mkimbie mimi ndo mangi shangali..
 
Luku wamezengua nimetoka home naenda kwa demu wangu Huku Tandale uzuri,kufika kapika tumekula na wakati wa kuaanza mechi umeme umekata...Nikapiga kimoja nikasepa
 
Luku wamezengua nimetoka home naenda kwa demu wangu Huku Tandale uzuri,kufika kapika tumekula na wakati wa kuaanza mechi umeme umekata...Nikapiga kimoja nikasepa
Mzee paka iddi unachakatua mbususa
 
Back
Top Bottom