Nimekuja kuungana na Makamanda humu ndani

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
4,225
Reaction score
869
Hodi humu ndani.

Jamani nimeamua kujiunga humu JF rasmi bada ya kukaa nje nikisoma comment za watu mbalimbali humu ndani,imefika wakati sasa nimeamua kujiunga ili na mimi niweze kueleza niliyo nayo moyoni.

Nafarijika kwamba kadri siku zinavyokwenda ndivyo ukweli wa mambo unavyozidi kuwekwa hadharani,ingawa kuna baadhi ya maeneo watu wanaingiza ushabiki zaidi badala ya HOJA!.Naomba niseme kwamba kam tukiendelea katika ujasiri wa namna hii na hasa kwenye ukweli bila kusingizia,ukombozi umekaribia.

Wajifya Inoo, Mwita Maranya , idawa, betlehem, KakaJambazi, WABHEJASANA, SANGARA, Elungata, Patriote, utaifakwanza, Return Of Undertaker, Crashwise, mwaJ, AshaDii, gfsonwin, @FirstLady1, lara 1 na wengineo woooooooooooooooooote,Hodiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana pole kwa kukaa nje muda mrefu,wengine sisi humu ndani ni kisoma chetu cha burudani tunatoa na kupata kila aina ya taarifa na hasa za nchi yemu kwa haraka na wepesi zaidi.
 
karibu jf uwanja huru kisima cha elimu, habari,michezo,utani bila kusahau karaha.!
 
Karibu na Jisikie huru kutoa hoja na kuchangia hoja bila kukiuka sheria za jf la sivyo ban itakuhusi
 
Karibu sana kiongozi katika harakati za kulijenga taifa letu kupitia mtandao huu wa kijamii. JF ukiitumia vizuri unaweza ukajielimisha katika nyanja zote za kimaisha ila ukiitumia vibaya kama wahuni wachache wanavyofanya kwa kuyumbisha mijadala humu, unaweza usione kama JF ni kisima cha elimu mtambuka. Mkuu karibu sana!
 
WAJIFYA INOO karibu sana JF tunatarajia kuwa muda wote uliokuwa nje umejifunza mengi na sasa unapoamua kuingia ndani unakuja na chamngamoto za kutosha kwa ajili ya manufaa yetu sote.
 
Last edited by a moderator:

Isije kuwa na wewe umepewa mgao wako wa Shilingi Elfu Saba pale Lumumba halafu uje humu kutu enjoy.Kama mwanahoja kweli karibu hapa ndo pahala pake
 
Last edited by a moderator:
Karibu JF. Mgeni mwenyeji. ID ya ngapi hii?
 
karibu sana mkuu WAJIFYA INOO .Nimatumaini yangu kuwa tutapata mambo mbalimbali ya msingi sana kutoka kwako.Karibu sana kwenye mijadala.
 
Last edited by a moderator:
Mbona inaonekana wewe siyo mgeni kabisa kwenye jukwaa hili...karibu sana
 

heko! Nami ndo najiunga kwa upya tulisongeshe. Nategemea uzoefu wenu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…