Nimekuja tena nipeni ramani kabla sijaenda lushoto kutembea

Pisi zake unavuta tu... Disco zote za Lushoto usiku wanajazana hao watoto wa IJA... Siku hizi elimu ni nyepesi sana
 
Ukifika Lushoto usikose kuwaona Wagosi wa Kaya. Waungishe biashara na stori na za hapa na pale
 
Tahadhari nyingine, watoto wa kisambaa wanategesha ndoa, vitoto vya form two lakini vinataka kuolewa na vinamambo makubwa... Kuwa makini usijekurudi na mke
 
Tahadhari nyingine, watoto wa kisambaa wanategesha ndoa, vitoto vya form two lakini vinataka kuolewa na vinamambo makubwa... Kuwa makini usijekurudi na mke
Asante Kwa muongozo
 
Lushoto nyumba za kupanga zimekaaje? Naripoti kituo kipya cha kazi mwezi wa pili.
 
Bei rahisi mno, kule maisha ni marahisi sana kama una kipato cha uhakika
Asante sana, japo nimezoea hili jiji la joto ngoja tukaone na huko. Baada ya kufanya kazi mjini zaidi ya miaka 12 na pesa yote kuishia tumboni
 
Kutoka lushoto mjini mpaka shule inaitwa St Marry Mazinde Juu unatumia muda gani kwa gari binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…