Nimekukubali Gentamycine, Matola 'mchawi'

Matola kachoka kuwa kocha msaidizi miaka yote, sasa anatafuta mbinu za kuaminika ili akabidhiwe ukocha. Kwa picha hii inayojionyesha kwasasa, kuna mambo mawili tu yatakayosaidia:-

👉🏽Wamtimue Matola, au kama bado wanamhitaji basi wamhamishe kitengo kingine (tofauti na ukocha huku akiendelea kusoma) ili kocha mpya atakapokuja aje na mtu anaeelewana nae.

👉🏽Wajivhanganye wampe team ili mwisho wa siku waamini wao wenyewe kwa macho yao na gharama zao, maana kwa kelele zetu (mashabiki) hawaoni kama anasitahili kupumzishwa.
 
you deserve it ulisema toka mwanzo na ndio kinachotokea[emoji817]
Sijawahi Kukosea katika Maaelezo yangu ya Kiuchambuzi ( Analysis ) hapa JamiiForums na huwa nafurahi sana pale Mapopoma ( Wapumbavu ) wanaponishambulia, wanaponidhihaki hadi Kunichukia kwani huwa najua kuwa hawajui kile ambacho Mwenyezi Mungu amekiweka ndani yangu na Kwao hakuwawekea.

Kuna muda huwa napenda Masihara ( Utani ) tu ili Kuchangamsha JamiiForums ila Watu wengi hawajajua Kunisoma tu.
 
Siku hizi 'Holly Spirit' ameniingia mno tu Moyoni Mwangu Mkuu na ninamuomba aendelee kuwa nami ili nisiwajibu hovyo..
 
Naona umejifungulia uzi ili kujisifia
ID ikijitokeza hapa JamiiForums kunikubali GENTAMYCINE ni yangu Mwenyewe ila ikiwa ni ya Kunichafua huwa hamnihusishi nayo. Na ningeshangaa sana kama katika huu Uzi kamwe asingejitokeza Mpumbavu na Mswahili mwenye Wivu na Chuki dhidi yangu kama Wewe.

Halafu huwa nawashangaa mno na ndiyo maana hadi huwa Ninawadharau halafu mnakasirika yaani Kutwa tu mnahubiri hapa kuna hamnipendi na mnanichukia ila ndiyo nyie nyie Wapumbavu ( Mapopoma ) mnaongoza kwa Kunisoma kila 24/7 hapa JamiiForums na wala hamjishtukii tu.

Narudia tena kusema Kwako ( Kwenu ) Haters wangu Wote hapa JamiiForums kuwa hivi nilivyo na hii 'Natural Charm' yangu ambayo nyie hamna lawama zenu zote zipelekeni Kwake Mwenyezi Mungu kwani Mimi GENTAMYCINE sikupenda kuwa hivi 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' bali ni Makusudio yake tu Kwangu.

Hivi GENTAMYCINE ambaye kila Siku tu idadi ya Followers wangu inaongezeka huku nikiwa ni Talk of the Forum na Talk of the Town huku hadi Mheshimiwa Rais wenu na karibia 75% ya Watendaji wake wote wa Idara zake Nyeti za Ulinzi na Usalama bia kusahau Bloggers na Media Practitioners huwa wananisoma na Kunifuatilia hapa nina haja ya Kutumia nguvu Kubwa kuwa Maarufu?

Na msichokijua tu ni kwamba hata Uraiani ( katika ) Jamii nakubalika ( napendwa ) na Watu wa kila Rika kuliko hata hapa Jamvini kutokana na kuwa Kwango Knowledgeable, Inquisitive, Sharp and Well Informed kwa Masuala Mtambuka ( mbalimbali na tofauti tofauti )

Naomba hii post yangu isambaze kwa Wapumbavu na Waswahili Wenxzako wote tafadhali ila jueni Nimebarikiwa sana.

Cc: Mwishokambi
 
Unataka kutuambia kuwa, Mwishokambi ndiye GENTAMYCINE mwenyeweee?

Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa Tunu ( Shani ) zake nyingi alizonitunuku na kunifanya niwe Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hapa duniani.

Cc: adriz
Acheni kujisifu kwa vitu vyach kijinga,wachezaji wanajituma sasa ili wasiachwe kwenye usajili.

Badala ya kuchunguza kwa nini walicheza chini ya kiwango,mnabaki mnaishi kwa hisia mbaya tu dhidi ya Matola.
Kwa nini usihisi yule muuza jezi za zamani ndiye anahujumu?
 
Imbecile.
 
Ukiondoa vijihasira fulani vya kukosa uvumilivu pindi anapokwaruzana wa wanajamvi humu huyu Genta anaujua mpira.

Lakini huwa nawaza labda yupo karibu na system ya mpira hasa TTF

Au pengine ni mmoja wa wachambuzi nguli wa radio/TV,

Au pengine yupo karibu sana na moja ya hizi klabu mbili kubwa.

Yote kwa yote napenda tabiri zake ambazo asilimia sabini na tano huwa Kuna ukweli
 
Mkuu hakuna eneo ambalo GENTAMYCINE siko na ndiyo maana unaona naweza kuyajua mengi na tena ya Uhakika tu.
 
Shukran, Ahsante na Ubarikiwe mno.
Mie nnalipitisha hili la udokta wa heshima..

Halafu kuna mpumbavu atatokea na kukuita wewe POPOMA,

POPOMA ya nyoko,
Uongozi wa jf naomba heshima ifate mkondo wake, yoyote atakaetumia lugha zisizostahiki kwa DR. GENTAMYCINE apigwe ban,
Huwezi muita popoma jamaa kama huyu, ikiwezekana liwe kosa la jinai, kifungo miaka mitano ama faini milioni 2, ama vyote kwa pamoja.

Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer Akawe POPOMA

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi 'Holly Spirit' ameniingia mno tu Moyoni Mwangu Mkuu na ninamuomba aendelee kuwa nami ili nisiwajibu hovyo..
Endelea kuwa hivyo hivyo , hata mimi enzi za Sekondari nilikuwa naoongoza kutaniwa Ktk na wenzangu Ktk upande ule tunaokaa darasani ila nikaja kugundua kuwa sio kwamba hawanipendi bali wanapata burudani jinsi ninavyojua matani na kureact kimasihara na ubunifu katika kuwajibu .

Kuna kipindi sikutokea darasani kama wiki siku ya kurudi watu wote walikuwa na furaha sana na wakakiri walipooa sana kwa kukosa matani na amsha amsha zangu .Kuna siku nilimtania mtu matani yakazidi akawa anataka kupigana nikampiga marufuku tusitaniane wala asichangie mada ninapotaniwa jamaa akaniomba akahiari kuomba radhi kuliko kukaa kinyoge bila utani.

Nikajifunza wengine utani na kejeli wanafanya kama sehemu ya kuondoa stress na sio kama wanachuki sana hivyo nikakubali nidharaurike kidogo kuwa sehemu ya burudani japo mara nyingine mtu anakuwa ana maanisha kweli..
 
Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa Tunu ( Shani ) zake nyingi alizonitunuku na kunifanya niwe Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hapa duniani.

Cc: adriz
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe ndiye GENTAMYCINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…