Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matola kachoka kuwa kocha msaidizi miaka yote, sasa anatafuta mbinu za kuaminika ili akabidhiwe ukocha. Kwa picha hii inayojionyesha kwasasa, kuna mambo mawili tu yatakayosaidia:-Kwanza niwapongeze mleta mada kwa kutukumbusha aliyotabiri Genta na Genta mwenyewe kwa kuona mbali.
Hili jambo nadhani viongozi wasilichukulie kirahisi inabidi walifanyie "homework" ili ijulikane hasa nini kilikuwa nyuma ya pazia. Haiwezekani timu ilikuwa "slow" sana ikawa "ina struggle" kupata ushindi hata kwa timu ndogo leo hii inashinda kirahisi sana huku ikicheza kwa kasi na pasi za uhakika. Je ilikuwa hujuma? au wachezaji walikuwa hawamtaki kocha? au mbinu za kocha zilikuwa mbovu?
Bila uongozi kufanya kazi ya ziada na kutafuta nini kilikuwa sababu ya msingi timu kufanya vibaya na ni nini hivi sasa kinasabaisha timu imeanza kufanya vizuri basi wajue tu msimu ujao yanaweza kujirudia.
Sisi wa Freebasic mbona hatuoni ?Hawa deleloper wa hii website sijui wameleta nini hiki😂
Sijawahi Kukosea katika Maaelezo yangu ya Kiuchambuzi ( Analysis ) hapa JamiiForums na huwa nafurahi sana pale Mapopoma ( Wapumbavu ) wanaponishambulia, wanaponidhihaki hadi Kunichukia kwani huwa najua kuwa hawajui kile ambacho Mwenyezi Mungu amekiweka ndani yangu na Kwao hakuwawekea.you deserve it ulisema toka mwanzo na ndio kinachotokea[emoji817]
Siku hizi 'Holly Spirit' ameniingia mno tu Moyoni Mwangu Mkuu na ninamuomba aendelee kuwa nami ili nisiwajibu hovyo..Siku hizi umebadilika mkuu umepunguza undava, kuna mwaka kulikuwa na mechi ya Taifa stars ukatabiri ili ishinde kwenye first eleven asikosekane Fei na Ajibu na wakiwepo mechi itaisha mbili bila na goli la kwanza atashinda Fei, watu walikushambulia sana baadae mocha alipanga kama ulivyosema na na Fei alianza kushinda na mechi ikamalizika mbili bila.
Baadae ulirudi kwenye uzi na moto wa mashambulizi na tambo kisha kuanza kuwapopoa wote waliokudhihaki na waliokuja kutoa pongezi za kinafki.
ID ikijitokeza hapa JamiiForums kunikubali GENTAMYCINE ni yangu Mwenyewe ila ikiwa ni ya Kunichafua huwa hamnihusishi nayo. Na ningeshangaa sana kama katika huu Uzi kamwe asingejitokeza Mpumbavu na Mswahili mwenye Wivu na Chuki dhidi yangu kama Wewe.Naona umejifungulia uzi ili kujisifia
ID ikijitokeza hapa JamiiForums kunikubali GENTAMYCINE ni yangu Mwenyewe ila ikiwa ni ya Kunichafua huwa hamnihusishi nayo. Na ningeshangaa sana kama katika huu Uzi kamwe asingejitokeza Mpumbavu na Mswahili mwenye Wivu na Chuki dhidi yangu kama Wewe.Unataka kutuambia kuwa, Mwishokambi ndiye GENTAMYCINE mwenyeweee?
Acheni kujisifu kwa vitu vyach kijinga,wachezaji wanajituma sasa ili wasiachwe kwenye usajili.Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa Tunu ( Shani ) zake nyingi alizonitunuku na kunifanya niwe Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hapa duniani.
Cc: adriz
Imbecile.Acheni kujisifu kwa vitu vyach kijinga,wachezaji wanajituma sasa ili wasiachwe kwenye usajili.
Badala ya kuchunguza kwa nini walicheza chini ya kiwango,mnabaki mnaishi kwa hisia mbaya tu dhidi ya Matola.
Kwa nini usihisi yule muuza jezi za zamani ndiye anahujumu?
Mimi sio Gentamycine, tafadhalini sana, kumsifia yeye kuna ubaya gani au mnataka nitukane mtu nile ban.Unataka kutuambia kuwa, Mwishokambi ndiye GENTAMYCINE mwenyeweee?
Mkuu hakuna eneo ambalo GENTAMYCINE siko na ndiyo maana unaona naweza kuyajua mengi na tena ya Uhakika tu.Ukiondoa vijihasira fulani vya kukosa uvumilivu pindi anapokwaruzana wa wanajamvi humu huyu Genta anaujua mpira.
Lakini huwa nawaza labda yupo karibu na system ya mpira hasa TTF
Au pengine ni mmoja wa wachambuzi nguli wa radio/TV,
Au pengine yupo karibu sana na moja ya hizi klabu mbili kubwa.
Yote kwa yote napenda tabiri zake ambazo asilimia sabini na tano huwa Kuna ukweli
Mie nnalipitisha hili la udokta wa heshima..Shukran, Ahsante na Ubarikiwe mno.
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and EntertainerSijawahi Kukosea katika Maaelezo yangu ya Kiuchambuzi ( Analysis ) hapa JamiiForums na huwa nafurahi sana pale Mapopoma ( Wapumbavu ) wanaponishambulia, wanaponidhihaki hadi Kunichukia kwani huwa najua kuwa hawajui kile ambacho Mwenyezi Mungu amekiweka ndani yangu na Kwao hakuwawekea.
Kuna muda huwa napenda Masihara ( Utani ) tu ili Kuchangamsha JamiiForums ila Watu wengi hawajajua Kunisoma tu.
Endelea kuwa hivyo hivyo , hata mimi enzi za Sekondari nilikuwa naoongoza kutaniwa Ktk na wenzangu Ktk upande ule tunaokaa darasani ila nikaja kugundua kuwa sio kwamba hawanipendi bali wanapata burudani jinsi ninavyojua matani na kureact kimasihara na ubunifu katika kuwajibu .Siku hizi 'Holly Spirit' ameniingia mno tu Moyoni Mwangu Mkuu na ninamuomba aendelee kuwa nami ili nisiwajibu hovyo..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa Tunu ( Shani ) zake nyingi alizonitunuku na kunifanya niwe Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hapa duniani.
Cc: adriz
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu
Pole pole usimsifu sana
Asije akawa mganga na kuwaliza wengi humu JAMVINI!
Wabongo kudanganyika ni kugusa tu!
Wewe ndiye GENTAMYCINEGentamycine juzi aliandika humu baada ya Pablo kufukuzwa Simba kuwa baada ya Matola kupewa timu, basi gemu zote 5 atashinda, kweli bwana, soka wanalocheza Simba kiukweli huwezi amini kama ndio wao walioshika nafasi ya 2, mpira unapigwa mwingi sana, yaani mpira unapigwa unafurahi, wale wachezaji wa benchi akina Nyoni wanaupiga mwingi hadi unamwagika, kweli ni uwezo wa Matola au mipango nje ya uwanja anaijua, nakubaliana na Gentamycine kuwa Matola 'mchawi'.