Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sasa kama alishauri wawashe moto Sauzi,si ni hatari hiyo......mpeni timu atumie uchawi wake kubeba taji la AfricaGentamycine juzi aliandika humu baada ya Pablo kufukuzwa Simba kuwa baada ya Matola kupewa timu, basi gemu zote 5 atashinda, kweli bwana, soka wanalocheza Simba kiukweli huwezi amini kama ndio wao walioshika nafasi ya 2, mpira unapigwa mwingi sana, yaani mpira unapigwa unafurahi, wale wachezaji wa benchi akina Nyoni wanaupiga mwingi hadi unamwagika, kweli ni uwezo wa Matola au mipango nje ya uwanja anaijua, nakubaliana na Gentamycine kuwa Matola 'mchawi'.
Ungeanzisha Uzi wa Kunichafua au Kunidhalilisha au hata Kunitukana nakuhakikishia hii ID yako isingehusishwa hivi nami.Mimi sio Gentamycine, tafadhalini sana, kumsifia yeye kuna ubaya gani au mnataka nitukane mtu nile ban.
Ukiona mtu anajisifia sana ndiyo ujue sasa namna alivyo ana upepo ndani mpaka anatumia jitihda kujinadi au kujisafisha au kutaka kwa lazima jamii imtambue, watu smart hawana huo muda to seek for approval its happening automaticallyNinamshukuru Mwenyezi Mungu kwa Tunu ( Shani ) zake nyingi alizonitunuku na kunifanya niwe Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hapa duniani.
Cc: adriz
Asante mno Mkuu, Ubarikiwe kwa hizi Credits zako Kwangu na Asante kwa Kunipa Heshima ya Daktari wa Falsafa hapa JF.Mie nnalipitisha hili la udokta wa heshima..
Halafu kuna mpumbavu atatokea na kukuita wewe POPOMA,
POPOMA ya nyoko,
Uongozi wa jf naomba heshima ifate mkondo wake, yoyote atakaetumia lugha zisizostahiki kwa DR. GENTAMYCINE apigwe ban,
Huwezi muita popoma jamaa kama huyu, ikiwezekana liwe kosa la jinai, kifungo miaka mitano ama faini milioni 2, ama vyote kwa pamoja.
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer Akawe POPOMA
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Adui wa Watu Machoni mwao, ila Furaha yao Kuu Mioyoni mwao. Asante mno Mwenyezi Mungu kwa Kunibariki na Vingi tu.Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Kuna muda tulikuwa tunazinguana sana hapa JamiiForums Mkuu ila baadae nikaja kujua tunafanana kwa 'Characters' zetu na sasa nikawa kila nikiona unanipiga Madongo ( japo mengine ulikuwa unayapatia ) kwa Kupiga Ikulu kabisa nabaki Kucheka na Kufurahi mno.Endelea kuwa hivyo hivyo , hata mimi enzi za Sekondari nilikuwa naoongoza kutaniwa Ktk na wenzangu Ktk upande ule tunaokaa darasani ila nikaja kugundua kuwa sio kwamba hawanipendi bali wanapata burudani jinsi ninavyojua matani na kureact kimasihara na ubunifu katika kuwajibu .
Kuna kipindi sikutokea darasani kama wiki siku ya kurudi watu wote walikuwa na furaha sana na wakakiri walipooa sana kwa kukosa matani na amsha amsha zangu .Kuna siku nilimtania mtu matani yakazidi akawa anataka kupigana nikampiga marufuku tusitaniane wala asichangie mada ninapotaniwa jamaa akaniomba akahiari kuomba radhi kuliko kukaa kinyoge bila utani.
Nikajifunza wengine utani na kejeli wanafanya kama sehemu ya kuondoa stress na sio kama wanachuki sana hivyo nikakubali nidharaurike kidogo kuwa sehemu ya burudani japo mara nyingine mtu anakuwa ana maanisha kweli..
Nonsense.Ukiona mtu anajisifia sana ndiyo ujue sasa namna alivyo ana upepo ndani mpaka anatumia jitihda kujinadi au kujisafisha au kutaka kwa lazima jamii imtambue, watu smart hawana huo muda to seek for approval its happening automatically
ID ikijitokeza hapa JamiiForums kunikubali GENTAMYCINE ni yangu Mwenyewe ila ikiwa ni ya Kunichafua huwa hamnihusishi nayo. Na ningeshangaa sana kama katika huu Uzi kamwe asingejitokeza Mpumbavu na Mswahili mwenye Wivu na Chuki dhidi yangu kama Wewe.Wewe ndiye GENTAMYCINE
[emoji1787] [emoji1787]Nonsense.
ID ikijitokeza hapa JamiiForums kunikubali GENTAMYCINE ni yangu Mwenyewe ila ikiwa ni ya Kunichafua huwa hamnihusishi nayo. Na ningeshangaa sana kama katika huu Uzi kamwe asingejitokeza Mpumbavu na Mswahili mwenye Wivu na Chuki dhidi yangu kama Wewe.
Halafu huwa nawashangaa mno na ndiyo maana hadi huwa Ninawadharau halafu mnakasirika yaani Kutwa tu mnahubiri hapa kuna hamnipendi na mnanichukia ila ndiyo nyie nyie Wapumbavu ( Mapopoma ) mnaongoza kwa Kunisoma kila 24/7 hapa JamiiForums na wala hamjishtukii tu.
Narudia tena kusema Kwako ( Kwenu ) Haters wangu Wote hapa JamiiForums kuwa hivi nilivyo na hii 'Natural Charm' yangu ambayo nyie hamna lawama zenu zote zipelekeni Kwake Mwenyezi Mungu kwani Mimi GENTAMYCINE sikupenda kuwa hivi 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' bali ni Makusudio yake tu Kwangu.
Hivi GENTAMYCINE ambaye kila Siku tu idadi ya Followers wangu inaongezeka huku nikiwa ni Talk of the Forum na Talk of the Town huku hadi Mheshimiwa Rais wenu na karibia 75% ya Watendaji wake wote wa Idara zake Nyeti za Ulinzi na Usalama bia kusahau Bloggers na Media Practitioners huwa wananisoma na Kunifuatilia hapa nina haja ya Kutumia nguvu Kubwa kuwa Maarufu?
Na msichokijua tu ni kwamba hata Uraiani ( katika ) Jamii nakubalika ( napendwa ) na Watu wa kila Rika kuliko hata hapa Jamvini kutokana na kuwa Kwango Knowledgeable, Inquisitive, Sharp and Well Informed kwa Masuala Mtambuka ( mbalimbali na tofauti tofauti )
Naomba hii post yangu isambaze kwa Wapumbavu na Waswahili Wenxzako wote tafadhali ila jueni Nimebarikiwa sana.
Cc: Mwishokambi
Mule mule tu, weee angalia jamaa akiwa anajibu watu hapa ile ID ya mleta uzi ipo offlineUnataka kutuambia kuwa, Mwishokambi ndiye GENTAMYCINE mwenyeweee?
Hebu tuondoleeni upuuzi wenu bhana...... ukimaliza kumtunuku nae atakuja kukutunuku. Kifup tuwaeleze kuwa jf ni kubwa sana na hamuwez kuwa na janja janja za kutaka umaarufu hewa.Humu JF hakuna Prof. wa JF, hakuna Dr. wa JF ila mimi nimemtunuku PhD ya JF, ndio maana namwita Dr. GENTAMYCINE.
Afu mtu anasema yupo na uelewa kabisa, mim nafurahi kuona matola anajipambanua vzr maana nikweli anawajuw wachezaji vzr kabisa hivyo anajuwa vema namna ya kuwatumia.Acheni kujisifu kwa vitu vyach kijinga,wachezaji wanajituma sasa ili wasiachwe kwenye usajili.
Badala ya kuchunguza kwa nini walicheza chini ya kiwango,mnabaki mnaishi kwa hisia mbaya tu dhidi ya Matola.
Kwa nini usihisi yule muuza jezi za zamani ndiye anahujumu?
unaonaje mtu anaye typing?Mac Alpho is typing
kwenye browser ya simu sijaona lkn kwenye computer inaonyesha.unaonaje mtu anaye typing?
Wako wapi kwenye ramani ya soka la Ulaya?Nakupa mfano Ajax amsterdam.
Pamoja sana mkuu , mimi tokea siku za mwanzo hapa Jf nilitokea kukukubali mno mpk nikakufollow kutokana na uwasilishaji wako wa mada kwa utulivu bila uwoga na jinsi unavyochangamsha jukwaa kwa majibu kuntu nikageuka kama chawa wako .Kuna muda tulikuwa tunazinguana sana hapa JamiiForums Mkuu ila baadae nikaja kujua tunafanana kwa 'Characters' zetu na sasa nikawa kila nikiona unanipiga Madongo ( japo mengine ulikuwa unayapatia ) kwa Kupiga Ikulu kabisa nabaki Kucheka na Kufurahi mno.
Natamani sana SIku moja Watu wawe wananiona huwa ninavyokuwa pale nikiwa ama naandika Mada hapa au nachangia Uzi wa Mtu hapa kwani muda mwingi huwa nakuwa Nacheka na Kuvunjika Mbavu pia kwani huwa nakuwa najua kabisa kuwa nawakea ( nawaudhi ) Watu ila basi tu Utukutu wangu wa kupenda Kuchangamshana ndiyo huniponza.
Huwa nawashangaa mno wale 'Members' wengine ambao huwa na Uchungu nami wakati hapa ni sehemu ya Urafiki sana. Na kama ukiwa tayari umeshanisoma GENTAMYCINE kuna muda huwa nakuwa nakwazwa ( nachukizwa ) na Vitendo ama vya Viongozi ( hasa Wanasiasa ) au Medani za Mpira au Elimu hivyo huwa nashindwa kuwa na Uvumilivu nao na ni lazima tu nitawasema ( nitawasulubu ) ila muda mwingi napenda Kufurahi na Kufurahisha Watu JF.
Wewe sasa ni Rafiki yangu mkubwa sana na tambua kuwa hap JamiiForums nakukubali mno napenda ulivyo Mtani pia.