ID ikijitokeza hapa JamiiForums kunikubali GENTAMYCINE ni yangu Mwenyewe ila ikiwa ni ya Kunichafua huwa hamnihusishi nayo. Na ningeshangaa sana kama katika huu Uzi kamwe asingejitokeza Mpumbavu na Mswahili mwenye Wivu na Chuki dhidi yangu kama Wewe.
Halafu huwa nawashangaa mno na ndiyo maana hadi huwa Ninawadharau halafu mnakasirika yaani Kutwa tu mnahubiri hapa kuna hamnipendi na mnanichukia ila ndiyo nyie nyie Wapumbavu ( Mapopoma ) mnaongoza kwa Kunisoma kila 24/7 hapa JamiiForums na wala hamjishtukii tu.
Narudia tena kusema Kwako ( Kwenu ) Haters wangu Wote hapa JamiiForums kuwa hivi nilivyo na hii 'Natural Charm' yangu ambayo nyie hamna lawama zenu zote zipelekeni Kwake Mwenyezi Mungu kwani Mimi GENTAMYCINE sikupenda kuwa hivi '
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' bali ni Makusudio yake tu Kwangu.
Hivi GENTAMYCINE ambaye kila Siku tu idadi ya Followers wangu inaongezeka huku nikiwa ni Talk of the Forum na Talk of the Town huku hadi Mheshimiwa Rais wenu na karibia 75% ya Watendaji wake wote wa Idara zake Nyeti za Ulinzi na Usalama bia kusahau Bloggers na Media Practitioners huwa wananisoma na Kunifuatilia hapa nina haja ya Kutumia nguvu Kubwa kuwa Maarufu?
Na msichokijua tu ni kwamba hata Uraiani ( katika ) Jamii nakubalika ( napendwa ) na Watu wa kila Rika kuliko hata hapa Jamvini kutokana na kuwa Kwango Knowledgeable, Inquisitive, Sharp and Well Informed kwa Masuala Mtambuka ( mbalimbali na tofauti tofauti )
Naomba hii post yangu isambaze kwa Wapumbavu na Waswahili Wenxzako wote tafadhali ila jueni Nimebarikiwa sana.
Cc:
Mwishokambi