Nimekukubali Gentamycine, Matola 'mchawi'

Asante na Nisamehe kwa yote Mkuu na kuanzia sasa Mimi na Wewe ni damu damu na usiache Kunipiga Madongo yako.
 
Sema mimi namkubali sana GENTAMYCINE...nakubali sana the way alivyo sio mnafiki kwenye ID zake kumi,huyu hata nikikwaruzana nae humu jamvini najua ni hulka tu ya kibinadamu na huwa sibebi bifu humu jamvini yeyote nitakayekwaruzana nae basi ajue siku ikipita yale yameisha nitapita kwenye post zake kutoa like za kimyakimya kuonyesha kwamba namfuatilia silently..
 
Acha kujiita MTUTSI tafadhali
 
Huyo Matola hafai kupewa timu Simba inatakiwa iwaze mbali, zaidi kwa haya matokeo ya Simba SC sasa naona Matola huwa anawashawishi wachezaji wake wacheze chini ya viwango.
Matola kabaki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…