Nimekukubali Gentamycine, Matola 'mchawi'

Nimekukubali Gentamycine, Matola 'mchawi'

Pamoja sana mkuu , mimi tokea siku za mwanzo hapa Jf nilitokea kukukubali mno mpk nikakufollow kutokana na uwasilishaji wako wa mada kwa utulivu bila uwoga na jinsi unavyochangamsha jukwaa kwa majibu kuntu nikageuka kama chawa wako .

Ila tukaja kukosana kuna siku ukanipopoa kikatili mno nilivyokupinga mahali ukasahau kama mimi ni shabiki yako . La pili ukakithirisha kutumia lugha kali mno hapa jukwaani nikawa muasi ramsi nikakunfollow mpk leo na kuanza rasmi kukuattack kikatili kwa kila post yako tukawa mahasimu wakubwa jukwaani kwa kipindi kirefu.

Kipindi cha uhasimu kuna kauli yako ilikuwa unanishambulia na inaukweli ile ya "mtu unamchukia lkn huchoki kumfuatilia kila wakati" kweli japo ulikuwa hasimu lakini huwa nikiona mada zako naiwahi kuisoma chap japo kuna nyingine muhimu zaidi kuna wakati nikajikuta nakupa like tu na wewe ukawa unalike na kuwa positive hata nikukuponda hapo nikaona uhasama hauna nafasi tena.

Mtu akielekea wema na wewe elekea wema sasa tumekuwa watani hapa Jf maisha uanenda.
Asante na Nisamehe kwa yote Mkuu na kuanzia sasa Mimi na Wewe ni damu damu na usiache Kunipiga Madongo yako.
 
Sema mimi namkubali sana GENTAMYCINE...nakubali sana the way alivyo sio mnafiki kwenye ID zake kumi,huyu hata nikikwaruzana nae humu jamvini najua ni hulka tu ya kibinadamu na huwa sibebi bifu humu jamvini yeyote nitakayekwaruzana nae basi ajue siku ikipita yale yameisha nitapita kwenye post zake kutoa like za kimyakimya kuonyesha kwamba namfuatilia silently..
 
ID ikijitokeza hapa JamiiForums kunikubali GENTAMYCINE ni yangu Mwenyewe ila ikiwa ni ya Kunichafua huwa hamnihusishi nayo. Na ningeshangaa sana kama katika huu Uzi kamwe asingejitokeza Mpumbavu na Mswahili mwenye Wivu na Chuki dhidi yangu kama Wewe.

Halafu huwa nawashangaa mno na ndiyo maana hadi huwa Ninawadharau halafu mnakasirika yaani Kutwa tu mnahubiri hapa kuna hamnipendi na mnanichukia ila ndiyo nyie nyie Wapumbavu ( Mapopoma ) mnaongoza kwa Kunisoma kila 24/7 hapa JamiiForums na wala hamjishtukii tu.

Narudia tena kusema Kwako ( Kwenu ) Haters wangu Wote hapa JamiiForums kuwa hivi nilivyo na hii 'Natural Charm' yangu ambayo nyie hamna lawama zenu zote zipelekeni Kwake Mwenyezi Mungu kwani Mimi GENTAMYCINE sikupenda kuwa hivi 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' bali ni Makusudio yake tu Kwangu.

Hivi GENTAMYCINE ambaye kila Siku tu idadi ya Followers wangu inaongezeka huku nikiwa ni Talk of the Forum na Talk of the Town huku hadi Mheshimiwa Rais wenu na karibia 75% ya Watendaji wake wote wa Idara zake Nyeti za Ulinzi na Usalama bia kusahau Bloggers na Media Practitioners huwa wananisoma na Kunifuatilia hapa nina haja ya Kutumia nguvu Kubwa kuwa Maarufu?

Na msichokijua tu ni kwamba hata Uraiani ( katika ) Jamii nakubalika ( napendwa ) na Watu wa kila Rika kuliko hata hapa Jamvini kutokana na kuwa Kwango Knowledgeable, Inquisitive, Sharp and Well Informed kwa Masuala Mtambuka ( mbalimbali na tofauti tofauti )

Naomba hii post yangu isambaze kwa Wapumbavu na Waswahili Wenxzako wote tafadhali ila jueni Nimebarikiwa sana.

Cc: Mwishokambi
Acha kujiita MTUTSI tafadhali
 
Huyo Matola hafai kupewa timu Simba inatakiwa iwaze mbali, zaidi kwa haya matokeo ya Simba SC sasa naona Matola huwa anawashawishi wachezaji wake wacheze chini ya viwango.
Matola kabaki tena
 
Back
Top Bottom