Nimekula kwa Macho akiwa na Night dress tuu.

sina la kukushauri....
Zaidi naomba niazime mandolin hiyo nikafanye mtama kwa watoto, hopefully nitaopoa....

Anyway hujui umeepushwa na nini........... Si kila ukiona nightdress utake kuichoropoa, dunia imeharibika......
 
Nyumba ulijenga wewe?unakuja na vumbi lako la ulaya unadhani watu wanakula ulaya?funguka!!
 
Mbado kuelewa?

Au kwa vile 1947 silishapita??

Babu DC!!
 
Kwa sisi akina Mwitwa,Chacha,Maswe nk.Pangechimbika mkuu.Lakn ebu jiulize ulitaka upite au uko serious kimaisha?Afu,we mzembe,unapitiwa na uzingzi kwenye mazingra tata kama hayo?U were not serious mkuu.Na mwisho,kukupasua na chupa,she was jokg.Lastly,tafakari kwanza kabla haujarudi uckie dhamira yako inakutumaje!LAKN POLE SANA NA PAIN YA mzee mzima
 
Wewe kijana mjinga! mwenzio yupo kwenye dozi ya ARVs! Unataka akuambukize??
 
Ushauri wa bure,acha uzinzi.ila tunashukuru tumejua kuwa ulienda kusoma majuu na una mandolini na vilevile huyo kicheche wako nae ana nyumba yenye hadi store.over

kwan lazma uchangie? Una uhakika na usemacho?Kwan kusoma majuu shda? Mshaur acha majungu na wivu usio na tija!
 
Ushauri wa bure,acha uzinzi.ila tunashukuru tumejua kuwa ulienda kusoma majuu na una mandolini na vilevile huyo kicheche wako nae ana nyumba yenye hadi store.over

hahahaha! senator mshauri mwenzio bwana, mbona kupampa kubwa hivo au mna visa?
 
Ungembaka tu mkuu..
Hapo hamna kesi, am a gud loya! Next time ikikutokea mbake then nitwangie nitakusaidia kisheria!

kudos kwa hilo wazo la kumsaidia kisheria lakini sio la kubaka..
 

hakuna kitu kibaya kama kumuonesha weakness zako x wako utajuta kumfahamu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…