I once had a girlfriend kabla ya kuoa. yeye anakaa mbali na mimi huko Bukoba mimi nipo mwanza. tulitamaniana sana na kupandishana ashiki kwa simu zetu, siku moja nikamkaribisha aje anitembelee rocky city, lakini akaniambia nakuja silali kwako. nikwambia kama hulali kwangu basi usije, mie nataka kulala na wewe, kula na wewe kama hauko tayari usije.
aliamua kuja. nilimpokea nikamwandalia mamisosi ya kigumu akapata maji tukaja kulala. kama alivyo wa kwako, alikubali kushikwa kila kona ya mwili wake isipokuwa site kama ulivyosema. alikubali kuvuliwa nguo zote hadi chupi lakini site nisifike. nilitamani nimbake, lakini nikaona siyo busara, acha tu nishawishi. nimeshawishi lakini akagoma kabisa kwa kigezo kuwa aliweka nadhiri hatofanya ngono nje ya ndoa.
nimelala naye kitandani two days, kila siku na kila saa naomba nipunguze jazba za jokel lakini alikataa na mwisho wa siku akanitamkia, kama unaona kufanya mapenzi ndo upendo, basi tafuta mwanamke mwingine. nilimwuliza hivi wewe unanipenda kweli? badala ya kutafuta njia za kunilinda nisifikirie mwanamke mwingine ndo kwanza unanijengea mazingira ya kutafuta? haya umeshinda.
alipoondoka, mie nilimchunia, sikumtafuta kama ilivyokuwa mwanzo kwani tayari nilimwona mwuaji. kila tukiwasiliana ananitania bi mdogo hajambo? namwambia natafuta.
siku moja tukiwa kwenye kampeni tumeenda kusikiliza mbovu za masha, nikamwona bint, basi tukabidilishana namba, baada ya wiki mbili, nikamwalika home, akaniondoa uzito. tukaamua twende kupima, akanichukua mpaka bungando, tukapima wote safi, kurudi nyumbani ilikuwa kaka sherehe, tulido mpaka ile mbaya.
baada ya kuwasiliana na yule wa bukoba, aliponiuliza bi mdogo hajambo nilimwambia hajambo anakusalimia, mpqaka leo nimezama na sasa nina mtoto mmoja. alipobaini sikuwa natania, alizimia lakini nilimdanganya nitaachana naye kitu ambacho siwezi mpaka leo................
story ni ndefu sana.....naishia hapa