Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Mssada wadau kuna duka nimekabidhiwa lakini mwenendo wa mauzo siyo wa kuridhisha pia inasemekana hili eneo halina biashara na uswahili ni mwingi,lakini mbaya zaidi kwa milango tuliokodi sisi upande wetu kwa miezi kadhaa nashuhudia watu wanahama mimi bado nimekomaa.
Tatizo linakuja duka biashara yake haieleweki na kama mnavyotambua nahitaji pesa kujikimu kimaisha,hivyo nakuwa sina budi kuchukua pesa na kutumia na mpaka kufika sasa nina miaka 3,boss hapigi hesabu ila mimi ndiyo natambua loss ya duka.
Nimepiga hesabu nadaiwa almost laki 4,mshahara 7-4000 nataka niache ila ninalo deni,sijui nifanyaje.
Wadau nifanyaje,kisheria pia haitaniletea madhara nikipelekwa polisi?