Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Jamaa tulimzika kawaida sana huyu pale morogoro ,aliumwa sana tuHuwa nawaambia ukisimuliwa jitahidi utafute ukweli. Hamis Gaga "Gagarino" alikuwa kiungo wa mbele "Attacking midfield" wakati Roster Ngunguru akicheza winger ya kulia kipindi hicho wachambuzi wakiita "outside right". Kwa ufundishaji uliokuwepo mchezaji kama Roster hata Ku cut in ilikuwa nadra Sana. Hivyo ukinambia alikuwa anapambana na Gaga utakuwa umetupanga Mkuu.
Wapinzani wakubwa wa Roster alikuwa Twaha Hamidu "Noriega" Kwa upande wa Simba na Fred Felix Katarahiya Minziro aka Baba Isaya.