😀😀😀😀😀😀😀😀Weee! ishia hapo hapo tutakosana ukiendelea ohooh! [emoji16]
Wajasiri hatuachi asili chaubishi wangu, aya bisha sasaHuhuhuhu nilitegemea mambo kama haya chaubishi wangu
Hahahahahha sibishi tenaWajasiri hatuachi asili chaubishi wangu, aya bisha sasa
Umekua mtoto mzuri sasa...Hahahahahha sibishi tena
Nimekumiss eti
Hakika nyakati zile zilikuwa njema sana.Dahhhhh......
Ngoja niwapishe vijana wa .com maana mie niwa enzi za kuandikiana barua, na unasubiri hata mwezi mzima haija kufikia.
Na siku barua zikikuja, ilikua ni lazima zisomwe hadharani pale mstarini, na hata ikilazimu unaweza ukaambiwa uifungue mbele ya Mwalimu wa nidhamu
Teknolojia ina uzuri wake, ingawa analogia ilikuaga inanoga sana sikuzileHakika nyakati zile zilikuwa njema sana.
Ehee endeleaaBaby nakukiss shingoni huhuhuhuhu
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]Heeh jamani wewe muhenga haya mambo unayaleta mpaka ugenini? [emoji16]
Aaaah!wapi nyie watoto wa kizazi cha iokote na kwangwaru mmna shida sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] tutake radhi
Daaah mkuu umenikumbusha mbali kipindi hicho nipo boys school ukitumiwa barua toka kwa mtoto wa kike siku hiyo inakua ya tofauti. Kabla ya kuifungua lazima uwe umeoga upo safi ugali hauna nafasi jioni hiyo.Dahhhhh......
Ngoja niwapishe vijana wa .com maana mie niwa enzi za kuandikiana barua, na unasubiri hata mwezi mzima haija kufikia.
Na siku barua zikikuja, ilikua ni lazima zisomwe hadharani pale mstarini, na hata ikilazimu unaweza ukaambiwa uifungue mbele ya Mwalimu wa nidhamu
Ndio ndiowapo ambao wanazeeka bado wanachati hayo mambo [emoji23][emoji23]
Lakin si uliona shughuli yetu kwenye kale kavideo kanako trend africa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaaah!wapi nyie watoto wa kizazi cha iokote na kwangwaru mmna shida sana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha,hicho hicho Mkuu!Cheupe kina viurembo kwa pemben..hahaha
Kuna shule moja kwenye hicho kitengo cha "lover affairs" mtu alikuwa anatandikwa fimbo mpaka mia [emoji3][emoji3]Dahhhhh......
Ngoja niwapishe vijana wa .com maana mie niwa enzi za kuandikiana barua, na unasubiri hata mwezi mzima haija kufikia.
Na siku barua zikikuja, ilikua ni lazima zisomwe hadharani pale mstarini, na hata ikilazimu unaweza ukaambiwa uifungue mbele ya Mwalimu wa nidhamu
Hapo ni full kutamba kwa wahuni😀😀Nakumbuka chating enzi za secondary
°Baby fungua mlango nakuja tulale[emoji188]
°Nimefungua njoo ndani Honey [emoji124]
°Nisogelee sweetheart na utoe nguo[emoji700]
°Baby funga macho nikukiss[emoji85]
°Nishafunga baby.
°Mwaaa
Muda huo ni usiku, upo tabora boys na huyo mjinga mwenzio yupo kilakala sec
Basi naanza kukupitia karibuUmekua mtoto mzuri sasa...
Miss you pia ila wewe siunanipitia mbali siku hizi
Huhuhuhu yanaishia hapoEhee endeleaa