Nimekumbuka chating za secondary

Nimekumbuka chating za secondary

Dahhhhh......
Ngoja niwapishe vijana wa .com maana mie niwa enzi za kuandikiana barua, na unasubiri hata mwezi mzima haija kufikia.
Na siku barua zikikuja, ilikua ni lazima zisomwe hadharani pale mstarini, na hata ikilazimu unaweza ukaambiwa uifungue mbele ya Mwalimu wa nidhamu
Hakika nyakati zile zilikuwa njema sana.
 
Dahhhhh......
Ngoja niwapishe vijana wa .com maana mie niwa enzi za kuandikiana barua, na unasubiri hata mwezi mzima haija kufikia.
Na siku barua zikikuja, ilikua ni lazima zisomwe hadharani pale mstarini, na hata ikilazimu unaweza ukaambiwa uifungue mbele ya Mwalimu wa nidhamu
Daaah mkuu umenikumbusha mbali kipindi hicho nipo boys school ukitumiwa barua toka kwa mtoto wa kike siku hiyo inakua ya tofauti. Kabla ya kuifungua lazima uwe umeoga upo safi ugali hauna nafasi jioni hiyo.
Siku moja sitoweza kuisahau, barua yangu imeitwa mstarini nilipoipokea nikaiweka kwenye begi sikutaka hata kuisoma hadi jioni nikimaliza kula. Ile jioni imefika naifungua kwa bashasha kuisoma kumbe ni jamaa yangu tuliokua tunasoma wote class moja ndio aliyenitumia alienda hadi mjini kuituma kwa posta.
 
Dahhhhh......
Ngoja niwapishe vijana wa .com maana mie niwa enzi za kuandikiana barua, na unasubiri hata mwezi mzima haija kufikia.
Na siku barua zikikuja, ilikua ni lazima zisomwe hadharani pale mstarini, na hata ikilazimu unaweza ukaambiwa uifungue mbele ya Mwalimu wa nidhamu
Kuna shule moja kwenye hicho kitengo cha "lover affairs" mtu alikuwa anatandikwa fimbo mpaka mia [emoji3][emoji3]
 
Nakumbuka chating enzi za secondary

°Baby fungua mlango nakuja tulale[emoji188]

°Nimefungua njoo ndani Honey [emoji124]

°Nisogelee sweetheart na utoe nguo[emoji700]

°Baby funga macho nikukiss[emoji85]

°Nishafunga baby.

°Mwaaa

Muda huo ni usiku, upo tabora boys na huyo mjinga mwenzio yupo kilakala sec
Hapo ni full kutamba kwa wahuni😀😀
 
Back
Top Bottom