Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #21
Hyo stage now ime improve... Si mnatumia video call?Mimi Hadi Sasa hivi bado Niko hio stage.japo sio mwanafunzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo stage now ime improve... Si mnatumia video call?Mimi Hadi Sasa hivi bado Niko hio stage.japo sio mwanafunzi
Cheupe kina viurembo kwa pemben..hahahaHalafu unakuta umetumiwa kwenye kile kibahasha kidogoo!
Nyie comments zenu leteni piemuWale wa kuandikiana barua na kuipata baada ya miezi comment zetu zinaruhusiwa humu?
Tukumbushe mremboHahahahaha nimekumbuka mbali kweli
Mmh!Hahahahaha nimekumbuka mbali kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie comments zenu leteni piemu
Hana lolote huyo mtoto wa juzi wanatumiana emoj tu huko WhatsAppTukumbushe mrembo
Kuna jamaa wa chels nae katuma hii text kwny grup la watsap.atakua ndo wewe hapo.ceoNyie comments zenu leteni piemu
Karibu sana bidada[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja
Hahhaa fanya mafekeche basi nitulie hapoHana lolote huyo mtoto wa juzi wanatumiana emoj tu huko WhatsApp
Magrp yote ya chelsea nilitoka..nipo ma grp ya man u nawasnitch tuKuna jamaa wa chels nae katuma hii text kwny grup la watsap.atakua ndo wewe hapo.ceo
Weee! ishia hapo hapo tutakosana ukiendelea ohooh! [emoji16]Hahhaa fanya mafekeche basi nitulie hapo
Ukute unamdanganya tu unamzibia ndoa [emoji23] [emoji23] .....kazi nzuri kijana endelea kuwakilishaWeee! ishia hapo hapo tutakosana ukiendelea ohooh! [emoji16]
Ndoa yenyewe ndio kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....Ukute unamdanganya tu unamzibia ndoa [emoji23] [emoji23] .....kazi nzuri kijana endelea kuwakilisha
Baby nakukiss shingoni huhuhuhuhuTukumbushe mrembo
Huhuhuhu nilitegemea mambo kama haya chaubishi wanguMmh!
Hahahahahhahaha loohHana lolote huyo mtoto wa juzi wanatumiana emoj tu huko WhatsApp