Nimekumbuka Enzi za Shule(Mixture Schools)

Nimekumbuka Enzi za Shule(Mixture Schools)

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Dah!Ni muda sasa tangu nikiwa shule mpaka sasa.
Kwa wakati ule nilipata memories nyingi za kukumbuka kwasababu nilikuwa nasoma mixture school.

Nakumbuka moja ya faida niliyopata kusoma mixture schools ni kwamba kuna influence kubwa from ladies

Nilikuwa mzembe nilipokuwa nasoma single schools lakini mara tu baada ya kuhamia mixture nikawa naona aibu kuchapwa nikiwa nimefeli mbele ya vi ladies vya shule hapo ndo juhudi zikaanza za kusoma kwa bidii ndo nikaanza kufaulu kupitia njia hiyo .

Shule za mixture zinakufanya uwe na bidii katika masomo kwasababu hutapenda kuonekana lazy man infront of ladies...
Tena nilijitahidi nikaupata ukiranja ili nisiwe nafanya manual work.

Some of the memories I remember ni furaha tuliyokuwa nao siku ya Disco la shule kila mwisho wa mwaka watu walijirusha kama vile sio wanafunzi...

Na wakati ule vyakula kutoka nje vilikuwa banned Ila wanafunzi kwa utundu wakawa wanaruka fensi kufata then wanaviuza shule kisirisiri.

Watu walikuwa wataalamu wa Ku dodge vipindi balaa MTU hadi anaenda kujifungia chooni ilimradi asihudhurie kipindi
 
Back
Top Bottom