IDD Amin Dada alikuwa Rais wa Uganda baada ya kumpindua aliyekuwa Rais wa wakati ule Milton Obote mwaka 1971 na kufanikiwa kuiongoza nchi hiyo kwa miaka Tisa.
Idd amin Dada alikuwa Rais wa vituko na waina yake na hata baada ya kuondolewa madarakani na majeshi ya Tanzania, mwandishi mmoja wa uwingereza alitoa statement moja kwenye gazeti moja akisema
" Africa has lost a wonderful president in this era"
IDD amin alikua na desturi moja, akifanya ziara sehemu furani. Ikitokea ukamfurahisha kwa jambo lolote kwa mfano ukaimba vizuri, ukamsifia sana au kuzungumza kauri zitakazo mfurahisha basi alikua anakupandisha cheo hapohapo mbele ya umati.
Lkn pia ikitokea ukafanya jambo lolote litakalo muudhi IDD amin kwa mfano kutokumsifia, au kutomfurahisha bac alikua anakufukuza kazi hapohapo mbele ya umati na Mara nyingine hata kifo kilifwatia.
Hali hii ya sasa imenifanya nikumbuke mbali saana, hasa Dikteta IDD Amin Dada na staili yake ya uongozi.