maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Nimekumbuka enzi hizo naishi na mama wa kambo nilipitia shida sana kupigwa bila kosa ilikua kawaida sana kupitisha siku nzima dry bila kula ilikua normally sana
Nakumbuka ilikua nikifaulu napigwa naambiwa nimeigilizia na nikifeli naambiwa sina akili napigwa pia yaani nilikua naishi kisungura sungura sana
Manyanyaso gani ushawai kukutana nayo share experience