Nimekumbuka mbali sana leo

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Nimekumbuka enzi hizo naishi na mama wa kambo nilipitia shida sana kupigwa bila kosa ilikua kawaida sana kupitisha siku nzima dry bila kula ilikua normally sana

Nakumbuka ilikua nikifaulu napigwa naambiwa nimeigilizia na nikifeli naambiwa sina akili napigwa pia yaani nilikua naishi kisungura sungura sana

Manyanyaso gani ushawai kukutana nayo share experience
 
Mama wa kambo=Mashemeji wa kike.
Wote tabia zao zinafanana, japo sio wote.
 
Mbona wapo wahenga ambao ni watata
Wapo kweli Dada ake ila kizazi sasa hivi kimezidi sana; fuatalia hata matukio ya unyanyasaji watoto wadogo kwa kina mama wakambo ni mengi tu kipindi hiki, na sasa hivi sio kina mama tu hata kina baba wa kambo ni hatari, ukiwa na mtoto wako wakiume anaweza mlawiti same apply kwa kike kubakwa
 
Hatuzungumzii single maza,tunazungumzia mama wa kambo asa kuwapa mimba hao na mada hewani vinahusiana nini
 
Hakuna mama mzuri ka mama wa kambo. Jichunguze utakuta kuwa weye ndo ulikuwa mkorofi. Kulialia hovyo. Kujinyea na kujikojolea hivyo hovyo. Mama wa kambo huku akilea mimba zake weye unataka akupakate ka mamako alivyokufanyia.
Acheni kuwatukana bali muwashukuru. Mama wa kambo angekuwazia mabaya weye ungelifikia ulipo leo?? Shilingi ina pande mbili
 
Nyie bado hamjakutana na Manyanyaso ya Kitaa!
 
Hakuna mama mzuri ka mama wa kambo. Jichunguze utakuta kuwa weye ndo ulikuwa mkorofi. Kulialia hovyo. Kujinyea na kujikojolea hivyo hovyo. Mama wa kambo huku akilea mimba zake weye unataka akupakate ka mamako alivyokufanyia.
Acheni kuwatukana bali muwashukuru. Mama wa kambo angekuwazia mabaya weye ungelifikia ulipo leo?? Shilingi ina pande mbili
 
Mawifi???

Bora mawifi maana unakuwa ushakuwa mtu mzima mwenye kuweza kufanya maamuzi labda uwe una kaujinga kichwani tu lakini mama wa kambo ni zaidi maana wengi tumelelewa na hao maza tukiwa wadogo hujui namna gani ujihami wala kumkwepa unakuwa hujui,,,
Mama wa kambo=Mashemeji wa kike.
Wote tabia zao zinafanana, japo sio wote.
 
Kiufupi mwanamke ni mlezi mzuri kwa uzao wa tumbo lake tu lakini sio kwa uzao wa mwanamke mwenzie ni wachache mno wasionyanyasa watoto

Mama wa kambo sio mama kabisa
 
No thank you wa kwako itakuwa ndo wale mama wa kambo wenye utu ambao ni 1 kati ya 1000

Mama wa kambo wengi ni wakatili mno acha mzee
 
Kuna wale ambao wanalelewa na ndugu(kaka) sasa kwenye picture anaingia shemeji ndio anaanza tabia za umama wa kambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…