Huyo ni kiherehere tu nae, utamnyanyasaje shemeji wa kiume??Kuna wale ambao wanalelewa na ndugu(kaka) sasa kwenye picture anaingia shemeji ndio anaanza tabia za umama wa kambo.
Hakuna mama mzuri ka mama wa kambo. Jichunguze utakuta kuwa weye ndo ulikuwa mkorofi. Kulialia hovyo. Kujinyea na kujikojolea hivyo hovyo. Mama wa kambo huku akilea mimba zake weye unataka akupakate ka mamako alivyokufanyia.
Acheni kuwatukana bali muwashukuru. Mama wa kambo angekuwazia mabaya weye ungelifikia ulipo leo?? Shilingi ina pande mbili
Muache aelezee mama wa kambo wa kwene tamthilia ila sio wa uhalisiaNo thank you wa kwako itakuwa ndo wale mama wa kambo wenye utu ambao ni 1 kati ya 1000
Mama wa kambo wengi ni wakatili mno acha mzee
Na wao watakosa malezi ya mzazi mmoja kama ilivyokuwa kuwa kwako, sasa hivi matukio ya baba wa kambo wanao walawiti na kuwabaka wa toto wa kiume na wakike wa wake zao ya mezidi; kwaiyo uhusiano upo hapo wewe umekuwa kipofu hauwoniHatuzungumzii single maza,tunazungumzia mama wa kambo asa kuwapa mimba hao na mada hewani vinahusiana nini
Ndio wapo baadhi ya mashemeji wa hivyoHuyo ni kiherehere tu nae, utamnyanyasaje shemeji wa kiume??
Hamnaga nongwa kabisa
Mimi naona wa mama wa kambo wengi wa zamani walikuwa pouwa sana gubu walikuwa nalo dogo: wanao zingua ni hawa waliozaliwa 1980s kuja mbele.
Wapo kweli Dada ake ila kizazi sasa hivi kimezidi sana; fuatalia hata matukio ya unyanyasaji watoto wadogo kwa kina mama wakambo ni mengi tu kipindi hiki, na sasa hivi sio kina mama tu hata kina baba wa kambo ni hatari, ukiwa na mtoto wako wakiume anaweza mlawiti same apply kwa kike kubakwa
Hahaha Dada ake kizazi cha sasa mnaji tetea naona sema kuna point ameiongea kapeace nimeielewa sana; ana sema ni ngumu sana kwa mwanamke yeyote wa sasa na wa zamani kumlea mtoto ambae si wake kwa mapenzi Yale kama ambavyo atamlea mtoto wake wa kumzaa.Si kweli wamama wa zamani eti afadhali inategemea na nafsi ya mtu wapi wa zamani sana roho mbayaaa tena mnoo wa sasa pia wapo waungwanaa....nafsi ya mtu haijalishi umri
Muulize membeNimekumbuka enzi hizo naishi na mama wa kambo nilipitia shida sana kupigwa bila kosa ilikua kawaida sana kupitisha siku nzima dry bila kula ilikua normally sana
Nakumbuka ilikua nikifaulu napigwa naambiwa nimeigilizia na nikifeli naambiwa sina akili napigwa pia yaani nilikua naishi kisungura sungura sana
Manyanyaso gani ushawai kukutana nayo share experience
Mada hewani ni mama wa kamboNa wao watakosa malezi ya mzazi mmoja kama ilivyokuwa kuwa kwako, sasa hivi matukio ya baba wa kambo wanao walawiti na kuwabaka wa toto wa kiume na wakike wa wake zao ya mezidi; kwaiyo uhusiano upo hapo wewe umekuwa kipofu hauwoni
Muulize membe
mama angu uyo; mwenyeweWatu hawafanani! Wapo wazazi wenye kuwalea watoto wao vizuri, wengine ndo vile tena!
Mara ngapi tunasikia mzazi kamchoma mwane kisa kala mboga?! Wengine hudiriki kuwatupa kabisa watoto wao wa kuwaza!
Hawa wamama wa kambo wapo wazuri na wabaya pia! Ila sababu tushajijengea dhana kwamba hawafai jamii nayo inaamini hivyo!
Binafsi meishi na mama wa kambo, sijawahi kuona ubaya wake! Na mpaka nimekuwa mtu mzima bado tunapendana namheshimu naye ananijali!
Tatizo lilikuwa kwa majirani, na hao ndo wanaowajengea watoto kiburi hawa wanaoishi na mama mlezi! Lakini kwangu mimi hawakufanikiwa, imagine ningejenga chuki nikiwa mdogo sijui kama ningekaa nimpende!
Pole kwa yaliyokukuta Mkuu, la mno uzima upo! Mshukuru Mungu kwa kila jambo!
Mimi naona wa mama wa kambo wengi wa zamani walikuwa pouwa sana gubu walikuwa nalo dogo: wanao zingua ni hawa waliozaliwa 1980s kuja mbele.