Nimepatamani sana, yani hapo Binadamu wanavuta hewa tamu na halisi balaa mpaka mapafu yanaenjoyi uhai [emoji1]Wapi huko kuzuri hivyo?
Naam.Nimepatamani sana, yani hapo Binadamu wanavuta hewa tamu na halisi balaa mpaka mapafu yanaenjoyi uhai [emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wapi hiyo,mufindi au wapi,au magugu Babati🤔Majira kama haya wakati huo anga lilikua ni kama hivyo!
Sijui ni wapi tumekosea hadi mabadiliko makubwa namna hiyo ya hali ya hewa tunayo yashuhudia sasa!View attachment 2556722View attachment 2556723View attachment 2556724View attachment 2556725View attachment 2556726View attachment 2556727View attachment 2556728
Hapo kama upo mbali na nyumbani wasiwasi wake sio wa kawaida.
Inaweza kuwa California kule kwenye radi na vimbunga 🤔Hamna ya bongo hata moja hapo.
Kuna mmoja lazima aanze huwezi kungoja dunia ndio uanze kupanda miti au kuzuia ukataji wa miti hovyoTatizo mazingira ni dunia nzima, kiongozi mmoja akijali utunzaji wa mazingira wengine wanapuuza.