Nimekumbuka miaka ya 1995 kueleakea 2000

Nimekumbuka miaka ya 1995 kueleakea 2000

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
11,050
Reaction score
31,412
Majira kama haya wakati huo anga lilikua ni kama hivyo!

Sijui ni wapi tumekosea hadi mabadiliko makubwa namna hiyo ya hali ya hewa tunayo yashuhudia sasa!
726448f636f44961d3ea019f636da398.jpg
115d7e7d02fb9bc771e5342d2a2d44ea.jpg
25e995f8e6cd5265a2942a26ae5776ef.jpg
7ccc67997b68bf42b614e0af749d7436.jpg
d68ca877881dfbf2ae084100fa77b012.jpg
36cb24cbd5bf522b39e38468b189afb5.jpg
3d7ad38ac6a47fac833f692bddd94738.jpg

Hapo kama upo mbali na nyumbani wasiwasi wake sio wa kawaida.
 
Huwa nasema mambo matatu kiongozi anatakiwa kuyapa kipaumbele ni
1.Mazingira
2.Sekta binafsi
3.Elimu.
 
Huwa nasema mambo matatu kiongozi anatakiwa kuyapa kipaumbele ni
1.Mazingira
2.Sekta binafsi
3.Elimu.
Tatizo mazingira ni dunia nzima, kiongozi mmoja akijali utunzaji wa mazingira wengine wanapuuza.
 
Uwezo mdogo wakufikiri kwa viongozi wetu na wananchi wenyewe na exposure ndio tatizo kubwa la mabadiliko katika hali ya tabia ya nchi yetu
 
Tatizo mazingira ni dunia nzima, kiongozi mmoja akijali utunzaji wa mazingira wengine wanapuuza.
Kuna mmoja lazima aanze huwezi kungoja dunia ndio uanze kupanda miti au kuzuia ukataji wa miti hovyo
 
Back
Top Bottom