Ulipelekwa kijiji gani?Nimezaliwa na kukulia jeshini 601 KJ airbase Ngerengere jeshini ila dingi kauzu sana, nilipofikisha miaka 6-9 dingi alinipeleka na kuniacha singida kijijini saaana nijifunze desturi na mila za kinyaturu.
So karibuni
wanyaturu na wanyiramba
Na wengine
View attachment 1138090View attachment 1138093View attachment 1138097
Jina halisi umelisahau?Makiungu kwa mbele
Kumbe nawe mwifwa ni mnyaturu?Ulipelekwa kijiji gani?
Mlilishwa ndege mwarabu/ndege john mkuu.Juzi nilikuwa hapo pana kuku!!