Hichi kigogo mbonaMbukwenyi?
ID yangu ni jina la Kinyaturu mkuu, huo ni utambulisho toshaKumbe nawe mwifwa ni mnyaturu?
Kipindi fulani tulikuwa tunapata tabu sana, nyumba ya intrembe tuliyokuwa naye ilikuwa dhaifu sana, mvua ikianza kunyesha inavunja nyumba yote tunakosa pa kulala tunabaki kuota moto tu huku tukisikilizia jinsi inavyovuja taratibu tone baada ya jingine...Ancha a genyanthruu
Ithrembe na ruri[emoji28][emoji28]View attachment 1138117View attachment 1138118
Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
Sehemu hiyo sijawahi kufika ila naisikia sanaukitoka Makiungu, Mungaa, Sie, Kairo then Mwisi
Ukiendelea Kinyagagaa, Lighwa, Mampando hadi Ntuntu
Kipindi fulani tulikuwa tunapata tabu sana, nyumba ya intrembe tuliyokuwa naye ilikuwa dhaifu sana, mvua ikianza kunyesha inavunja nyumba yote tunakosa pa kulala tunabaki kuota moto tu huku tukisikilizia jinsi inavyovuja taratibu tone baada ya jingine...
Niitie dada nawataka hukuWanakuja mkuu ndugu zako wanyaturu mkujee mnaitwa huku
Wengine wabishi watapita kusoma kimyakimya
Ionyeshe yote hiyo avatar basihabarikeee
Nyie ni mashemeji zangu.
Asante sana kwa kunipatia mke
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
haha hahaIonyeshe yote hiyo avatar basi
Nitageuka pale utakapoionyesha hiyo avatar yotehaha haha
Lini utageuka lakini shunie
punguza kutupa tabu wenzio