Nimekumbuka Singida (Mnyaturu mimi)[emoji41]

Nimekumbuka Singida (Mnyaturu mimi)[emoji41]

Ancha a genyanthruu
Ithrembe na ruri[emoji28][emoji28]
FB_IMG_1560746720909.jpeg
2019-06-25%2012.10.20.jpeg


Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
 
Ugikhnumbu la.mnyampaa[emoji28][emoji28]
Kipindi fulani tulikuwa tunapata tabu sana, nyumba ya intrembe tuliyokuwa naye ilikuwa dhaifu sana, mvua ikianza kunyesha inavunja nyumba yote tunakosa pa kulala tunabaki kuota moto tu huku tukisikilizia jinsi inavyovuja taratibu tone baada ya jingine...

Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
 
Tulikuwa tuna lori flani tunaenda minadani kule ndo nilijua vijiji vingi hasaa vya iramba.
Kiomboi
Mtekente
Ufana
Shelui
Sekenke
Pia njia panda ilikuwa raha sana kipindi hicho kula bata ya kufa mtuu!!chapa sana watoto wa kinyiramba na wataturu wale wanaacha nyonyo wazi.
 
Back
Top Bottom