Kwahiyo umekulia Singida au Morogoro jeshini?!!!!Nimezaliwa na kukulia jeshini 601 KJ airbase Ngerengere jeshini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo umekulia Singida au Morogoro jeshini?!!!!Nimezaliwa na kukulia jeshini 601 KJ airbase Ngerengere jeshini
hahaha ile offer yetu lini kwanza ya kutupeleka Sehemu nzuri nzuri Mimi na sakayo nije nimuone shunie kibonge Mimi.Nitageuka pale utakapoionyesha hiyo avatar yote
Nyie tu nafasi zenu mm nipo jamanihahaha ile offer yetu lini kwanza ya kutupeleka Sehemu nzuri nzuri Mimi na sakayo nije nimuone shunie kibonge Mimi.
Nakusalimu mimi[emoji848]habarikeee
Nyie ni mashemeji zangu.
Asante sana kwa kunipatia mke
Daah Utakua unagongewa mzee baba,sorry lkn.habarikeee
Nyie ni mashemeji zangu.
Asante sana kwa kunipatia mke
Kisura Mimi mzimaNakusalimu mimi[emoji848]
wewe nawe mkuu waweza kuwa unagongewa; sorry pia lakini.Daah Utakua unagongewa mzee baba,sorry lkn.
MwisiMakiungu kwa mbele, Siuyu, Unyambwa, mapando au wapi funguka kidogo Mnyampaa.
wewe nawe mkuu waweza kuwa unagongewa; sorry pia lakini.
wana wake ni wale wale akili zao ni zile zile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimependa jibu lakowewe nawe mkuu waweza kuwa unagongewa; sorry pia lakini.
wana wake ni wale wale akili zao ni zile zile
Maaana.......?Kisura Mimi mzima
mmefurahi kukuona.
walau nitatulia sasa; maana...
mtima wangu ulikuwa unaenda kwadu;Maaana.......?
hahaha kisura kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimependa jibu lako
Ila mkeo lazima atakua kisura maana watu wa huko sio mchezo
Aisee[emoji4]...hongerahahaha kisura kama wewe
hahaha hongera iyo VeepAisee[emoji4]...hongera
Hahaa nipe ingine basi niwekehahaha hongera iyo Veep
ole wako upeperuke kisura
afu unitendei haki kwenye avater
rudisha ile ya miwani basi.Hahaa nipe ingine basi niweke
Ile ishapotea siku saverudisha ile ya miwani basi.
Fanya fanya basi: kabla sijaingia porini
nione
then niingie porini andaa tanuru la kutengeneza mkaa
Ulivo zoea dar es saalamIle ishapotea siku save
Nipeleke porini nikusaidie basi