Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakusalimu mimi kisura; umeamkaje.Sis wa kusini mwa Tanzania nani atuoe sasa
😂😂😂 Tena akikaa hata siku 2 tuu akirudi Dangisi hadi slang kachange , Wearing style full dogi dogi mara unakuta chalii mdogo anaita wakubwa zake Janja .Wanyaturu mkija chuga. Na nyie mnajifanya watu wa chuga kwa kuongea kichugaian
Umenchomesha maindi yaan toka jana niko tu hapa😕😕nakusalimu mimi kisura; umeamkaje.
Nisamehe MimiUmenchomesha maindi yaan toka jana niko tu hapa😕😕
Haha aya bana..mzima lakini weweNisamehe Mimi
Mtandao wa shida uku, nilikosa access ya mtandao iyo jana. Hapa penyewe nilipo nipo juu ya mti nilikuwa nakusubiri; nikuone ndo
nishuke huwezi amini.
Nashukuru kwa kunigandisha mtini masaaHaha aya bana..mzima lakini wewe
HahahaaaaNashukuru kwa kunigandisha mtini masaa
Kumbe ww mtani wangu aiseeeAyuu, nemfangaa waa
Daaaahhhh, nimeumisi sana aisee
Eheeee, ebu sema..Kumbe ww mtani wangu aiseee
Umufanga neeEheeee, ebu sema..