huyu ndo smasha clearing injinia!.................Anakumbuka kuwa faraha na wasichana tu!!Hii thread imenifanya nikumbuke mengi sana enzi za utoto!!
Nakumbuka nilikamatwa na Barua nimemwandikia Monitress nilipokuwa darasa la kwanza.
Nakumbuka nilikuwa nacheza michezo yote ya kike ingawa mimi wa kiume.
Nakumbuka enzi za KOMBOLELA lazima nikajifiche sehemu 1 na mrembo inapita michezo 3 hamjaonekana!!
Nakumbuka.............................!!!!!!!!
huyu ndo smasha clearing injinia!.................Anakumbuka kuwa faraha na wasichana tu!!
Hehehe ngoja nipotezee kabla watu hawajaanza kuchunguza!Alafu kuna kitu ntakupm!
hi Lizzy! hivi natamani nikuonage manake sijui ulikuwa unawaza wapi mpaka ukaja na hii sredi? i real like it, it seems maisha yako yametawaliwa na furaha dats why you make us happy. nikisoma page za memba nabaki hoi.Hahahaha!Umenifanya nicheke kama mwehu!Eti sita kali au nne moto!
Nakumbuka vikalmati vya mama salama. Na watoto waliokuwa wananunua ice cream wanapokwa ile icecream yote ya juu na watoto wajanja wanabaki na biscuit tu
Hope hujaogopa kama kibaka aliyekamatwa na wananchi wenye hasira!
Nakumbuka nilipokuwa O-level tulikuwa na mchezo wa kutoa majina ya utani kwa walimu,kuna mwalimu mmoja alikuwa na nyusi nyingi karibu zinaungana tukawa tunamwitw MANYUSI na mwingine aliingia class siku ya kwanza amevaa suruali ina mifuko miwili nyuma tukaanza kumwita DABO POKETI,mwingine alikuwa na Garden Luv la kitosha linachomoza hadi shingoni tukawa tunamwita MWAKIPESILE kwa kuwa tu kuna gazeti fulani lilikuwa linatoa katuni ya jamaa mwenye jina hilo aliyekuwa na garden kama ufagio.
Primary napo nakumbuka niliwahi kucheza kamari nikaliwa hadi nauli ya daladala ikatokea lifti nikaikimbilia na kusahau begi la shule,kesho yake nikakuta madaftari tu tena yamechanwa begi likaenda, begi lenyewe lilikuwa ni la mgongoni limeangikwa OASIS.
Kijijini hapo Shitimbi!
haha Rev Masa hapo alikuwe
1. Rev Masa
2.Teamo
3. Asprin
4.St.RR
Siju na Fidel 80 picha inakataa
Nakumbuka vikalmati vya mama salama.