Takataka gani tena hiziKuna operation kabambe imeanzishwa ya kula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS.
Ikilazimika kila mtu atalishwa hiki kiapo kwa nguvu na lazima.
Maovu yamezidi kwenye jamii dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu ambayo haya yote kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain aliuwawa kikatili akiutetea na kupigania.
Labaika ya Hussain.
The road to Karbala join the movement NOW!
View attachment 3436333