TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Nimemaliza chuo narudi kijijini nakutana na yaleyale, nikaacha kazi na kuingia kwenye tech nikiamini tech itatatua matatizo haya mpaka kilimo, nakutana na tech Ecosystems yenye maneno mengi, nikafeli, nikaamua kurudi kijijini.
Nikakuta matatizo ni yaleyale, nimekaa vijijini na kushuhudia mateso ya ndugu zangu, kuna muda unakaa peke yako unalia, huna mtaji wala connections, Je nikate tamaa?, nikarudi tena sina excuses zaidi ya kupambana hata ikinilazimu kufa.
Nikachora ramani upya ya kurudi kwenye tech world nikiwa shambani kijijini, lakini nitarudi vipi wakati sina mtaji na nilipigwa hela za grants zaidi ya $25k na developers wa kibongo. Nilikuwa nasali nikimuomba Mungu anipe ishara, and my long time friend akanipigia simu.
And I knew from that moment ilikuwa God's plan, tukachora ramani ili tuweze ku_survive lazima tuuze, we started making money from day 1, tukaja na affiliate platform inayoitwa adboxafrica and e learning nayo inaitwa UjuziNetAfrica.
In less than a year, timu ikaanza kukua to 15 dreams team, mazaohub ikapata kazi kwenye kiwanda Cha kwanza East Africa Spirits, then Gaki investment and others, No grants, No investment but tunajimudu mdogo mdogo.
Tukamshawishi startup mwenzetu wa hardware aliyetengeneza hardware ya prepaid water meter kuwa sehemu ya group na kuinunua startup ya victronix , kwaajili ya kuanzisha kitengo Cha IoT . And here we are.
Tukamaliza kusajili kampuni nyingine USA inayoitwa adboxafrica as AdBox Digital Inc.
Pichani chini ni chumba kidogo Cha IoT department kuna sensors za Kilimo ikiwa ni pamoja na devices za kupima udongo zikiwa integrated na App inayoitwa mazaohub, tumeanza na mkulima wa parachichi.
Nakuomba Mh. Hussein Bashe tuangalie kwa jicho lingine, as long as am alive, this thing will shock you.
Pengine wengine wanaweza kudhani tunaomba grants hapana, hii nchi ina matatizo mengi yanayoweza kutatuliwa na vijana kupitia tekinolojia.
Tumejitengenezea ajira wenyewe tunalipwa kutokana na matatizo tunayotatua kwenye Kilimo, maji, viwanda, usafiri, tunaomba ubia na Serikali.
NB; Ujasiri, kujitoa na kujituma kunaweza kukuonyesha kesho yako, angalia tatizo lifanye kuwa fulsa.
Kisa hiki nimekutana nacho kutoka kwa kijana mwenzenu unaweza kumtafuta Tweeter kwa jina la Geophrey Tenganamba.