Nimekunywa maji lakini wapi

Nimekunywa maji lakini wapi

Habari wana JF,

Tangia niskie kuwa maji yanakufanya uwe mweupe hata kumzidi Rooney nimeanza kwa kunywa kama litre 3 kwa siku lakini wapi.

Naomba msaada kuhusu hili maana hata simkaribii Vicente Kigosi.
Kumbe wakina Rooney wanakunjwa maji sana
 
[Q="Erijo, post: 15434325, member: 346120"]Kumbe wakina Rooney wanakunjwa maji sana[/QUOTE]

Ye ah of coz, kila wakati utawaona wapo na chupa ya maji kwe bag. Lakini sis waswahili sio desturi yetu kabisa. Japo hii ya mswahili mwenzetu V. Kigosi imevunja rekodi kabisa. Na zile nywele zake sasa atakuja na kusema anakula sana mlenda khaa haha
 
Habari wana JF,

Tangia niskie kuwa maji yanakufanya uwe mweupe hata kumzidi Rooney nimeanza kwa kunywa kama litre 3 kwa siku lakini wapi.

Naomba msaada kuhusu hili maana hata simkaribii Vicente Kigosi.
Yaani hufurahii jinsi ulivyoumbwa unataka uwe vinginevyo?
 
kunywa sumu ya panya yani fasta dk 2 kitu mweupeeee
 
Back
Top Bottom