Kumbe wakina Rooney wanakunjwa maji sanaHabari wana JF,
Tangia niskie kuwa maji yanakufanya uwe mweupe hata kumzidi Rooney nimeanza kwa kunywa kama litre 3 kwa siku lakini wapi.
Naomba msaada kuhusu hili maana hata simkaribii Vicente Kigosi.
Kwani kambare anakunywa maji...yeye anaishi baharini tuu!
!
Kimsingi kambale asingekuwa mweusi
Yaani hufurahii jinsi ulivyoumbwa unataka uwe vinginevyo?Habari wana JF,
Tangia niskie kuwa maji yanakufanya uwe mweupe hata kumzidi Rooney nimeanza kwa kunywa kama litre 3 kwa siku lakini wapi.
Naomba msaada kuhusu hili maana hata simkaribii Vicente Kigosi.
!Kwani kambare anakunywa maji...yeye anaishi baharini tuu