Huwa wanamaanisha 'love' mkuu, ila nadhan isikupe shida vitu vidogo sana hivi.
Note: usipende sana kuipekua simu ya mke wako utapata stress, Jiamini.
Hapo sasa huu wetu utakuwa ni ubashiri wakati jibu angelipata kwa huyo huyo mwenye simu ambalo lingekuwa la uhakika zaidi.Kwani ume muuliza yeye kasema unamaanisha nini maana mwandishi ndo anajua alichao kiandika
Unataka kumuua kwa presha sasaMaana yake kashaliwa yamebaki manyoya tu mdau ila vumilia aise maana kazi unayo!!!!!
Kweli mkuu alie andika ndo mwenye jibu kamiliHapo sasa huu wetu utakuwa ni ubashiri wakati jibu angelipata kwa huyo huyo mwenye simu ambalo lingekuwa la uhakika zaidi.
Ungemuuliza mkewe hilo neno alimaanisha nn alivyoliserve usilifafanue ujuavyo ww wakati hujui mhusika alimaanisha nn. Au piga no hiyo ujue ni ya naniHabari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika harakati za kuipekua simu ya mke wangu nikakuta jina limeseviwa ''lv" , na tunajua msimamizi wa mke ni mumewe, so kuchunguza kila linaloendelea ni lazima kwa mkewe. Je hili ni neno ama herufi ?, manake ukitaka kulitafsiri kwa lugha ya malkia utapata maana nyingi sana , linamaanisha nini haswa?
Karibuni wadau bila kuchafua hali ya hewa.