Nimekuta jina limeseviwa "lv'' kwenye simu ya mke wangu.

Nimekuta jina limeseviwa "lv'' kwenye simu ya mke wangu.

Hawasemagi ukweli Hawa viumbe, so hapa unaweza pata majibu murua kabisa, kwasababu ni jukwaa la wasomi
Ukiwa kama mume unatakiwa uwe na njia ya kukaa na mwenza wako ambapo mnaweza kupata suluhu ya jambo lolote ambalo unakuwa na mashaka nalo.

Pia majibu humu unaweza ukayapata ila bado itakubidi umuulize tu ili upate uhakika zaidi.
 
Kwanini mnaoa wakati hamjakomaa akili? Sasa kama Umeshindwa kujua lv nini maana yake utaweza kweli kumlea mke wewe? Au Unadhani kuchunguza simu yake ndio kumlinda? Nyie ndio mtalea watoto wasio wenu maana kwa ubwege huo utaachaje kumegewa
 
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika harakati za kuipekua simu ya mke wangu nikakuta jina limeseviwa ''lv" , na tunajua msimamizi wa mke ni mumewe, so kuchunguza kila linaloendelea ni lazima kwa mkewe. Je hili ni neno ama herufi ?, manake ukitaka kulitafsiri kwa lugha ya malkia utapata maana nyingi sana , linamaanisha nini haswa?
Karibuni wadau bila kuchafua hali ya hewa.
Kama ni mkeo maana yake wewe ndio umemuoa kwa Ku propose kila kitu,nae alikubali na kitendo cha kukubali maana yake yeye yu tayari kua chini yako hivyo basi muite muweke chini akueleze nini maana ya Lv na ili kujiridhisha Fanya utafiti wa kina kwa kuchukua hiyo namba kwanza contact nae kwa siri ili ufahamu kama ni mwanamke au mwanaume na anapatikana wapi
n.k (HAPA MTAFUTE MDADA YEYOTE UNAYEMUAMINI AKUFANYIE HIYO KAZI)
Kwa hali ilivyo sasa waungwana kumchunguza mkeo au mumeo ni wajibu wala tusitake kufanya kua ni jambo la kawaida
 
Je kwenye call record limepigwa mara ngapi??? Kama mara nyingi na hakuna record yoyote ya msg then jua washabakiza manyoya. Kama hakuna calls record nyingi ya hiyo namba so.may be shosti but dunia ya sasa hawa viumbe wanakoboana pia so huwezi kuwa confortable kwa mahusiano ya wao kwa wao.pia. So ......endelea na uchunguzi
 
Huwa wanamaanisha 'love' mkuu, ila nadhan isikupe shida vitu vidogo sana hivi.
Note: usipende sana kuipekua simu ya mke wako utapata stress, Jiamini.
Asipate stress ili aje apate ukimwi
 
Kabla hujamuoa ulimkuta na bikra? Anyway, kabla hujafikia hitimisho icheki hiyo no kwa kutumia Mpesa au Tigo pesa uweze kujua huyo 'lv' ni Me au Ke alafu ulete mrejesho!
 
Maana yake umebakiziw manyoya kuku ameshaliw, angekuw hajaliw angesave "kaka yangu". Pole mkuu wanawake ndivyo walivyo
 
Hicho kitakuwa ni kifupisho cha majina ya yule mpenzi wake anayemkuna hadi anapata raha: LAWRENT VENANCE
 
Ukiwa kama mume unatakiwa uwe na njia ya kukaa na mwenza wako ambapo mnaweza kupata suluhu ya jambo lolote ambalo unakuwa na mashaka nalo.

Pia majibu humu unaweza ukayapata ila bado itakubidi umuulize tu ili upate uhakika zaidi.
Sawa kiongoz
 
Kwanini mnaoa wakati hamjakomaa akili? Sasa kama Umeshindwa kujua lv nini maana yake utaweza kweli kumlea mke wewe? Au Unadhani kuchunguza simu yake ndio kumlinda? Nyie ndio mtalea watoto wasio wenu maana kwa ubwege huo utaachaje kumegewa
Mkuu unachafua hali ya hewa, nimeoa nikiwa mdogo sana (o level), hadi leo nimeweza kumlea, kumlea kwangu sio tatizo kabisa!
 
Mwulize mkeo ina maana gani, Pia chunguza kwa makini kama ana tabia ya kusave majina kwa kifupi au ni hilo jina tu!

Kama anakucheat utagundua tu!
 
mkuu usiwe na wasi usikute ni rafiki yake wa kike kamsave hivyo ila muulize kwanza au ipige hiyo no
 
Back
Top Bottom