dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
- Thread starter
- #61
Hongera sana kwa ushauri mzuri, hakika wewe utakuwa ni mke mwema na bora kabisaKama ni mkeo maana yake wewe ndio umemuoa kwa Ku propose kila kitu,nae alikubali na kitendo cha kukubali maana yake yeye yu tayari kua chini yako hivyo basi muite muweke chini akueleze nini maana ya Lv na ili kujiridhisha Fanya utafiti wa kina kwa kuchukua hiyo namba kwanza contact nae kwa siri ili ufahamu kama ni mwanamke au mwanaume na anapatikana wapi
n.k (HAPA MTAFUTE MDADA YEYOTE UNAYEMUAMINI AKUFANYIE HIYO KAZI)
Kwa hali ilivyo sasa waungwana kumchunguza mkeo au mumeo ni wajibu wala tusitake kufanya kua ni jambo la kawaida