Dawa ya moto moto tuu mm mwanamke awezi aka compite na mm hata cku moja yani kuniumiza kichwa changu na kunisumbua nikikuta ilo jina hata culizi ila atajuta kuzaliwa ataondoka mwenyewe mana izo show na vituko nitakavyovifanya apo home atatulia mwenyewee ataombaa poo yy c anajikuta mwanamke wa nguvu ananiletea upumbavu mm kama uwo sasa atatuliaa mwenyewee nitamkomesha yaniii vitu nitakavyo mfanyia cjui mana kama pesa ninayo wanawake duniani wako wengiii mbona atatulia kwa izo shoo zake ctojali hata kama tunawatoto wanne mana yy c ndo kanzisha mm nilikuwa nimetulia atajuta na atawachukia wanaume kinyama yani kwa iyo bhana broo mwanamke asikumize akili awo wapo wangii sana ila usimuache mkeo we muoneshe action tuu na umuoneshe uanaume wako usimpige wala nn jas show her action bac we cheza na akili yakee tuu vitu vidogo ivyo visikumize kichwa uwa nawatafutaga wanawake wa jinsi iyo mbn mm kwangu awaji.....!!!!