Nimekuta jina limeseviwa "lv'' kwenye simu ya mke wangu.

Nimekuta jina limeseviwa "lv'' kwenye simu ya mke wangu.

Hyo maana yake ni love...chukua cm yake laa nayo ili uhakikishe zaid mana hii dhana ya kutokushika sim ya mkeo n ujinga...we ndio kichwa bana usipangiwe...
 
Nimekosea nini dimaa
Comment yako yakusema kwenye simu za wenz wenu mnatakaga nin, kama mwanamume unayejitambua simu ya mkewe lazima tu uichunguze, je kuna amni!!, na tunajua mwanamume ndo msimamizi wa mwanamke, upo lamujar?
 
Leo zamu yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kunywa maji kabisa
 
Manyoya hayo...kisha liwa.....lv=love=mpenzi=Sheri=mkunaji......VP MKUU wewe unakuna au unapapasa tu?
 
Dawa ya moto moto tuu mm mwanamke awezi aka compite na mm hata cku moja yani kuniumiza kichwa changu na kunisumbua nikikuta ilo jina hata culizi ila atajuta kuzaliwa ataondoka mwenyewe mana izo show na vituko nitakavyovifanya apo home atatulia mwenyewee ataombaa poo yy c anajikuta mwanamke wa nguvu ananiletea upumbavu mm kama uwo sasa atatuliaa mwenyewee nitamkomesha yaniii vitu nitakavyo mfanyia cjui mana kama pesa ninayo wanawake duniani wako wengiii mbona atatulia kwa izo shoo zake ctojali hata kama tunawatoto wanne mana yy c ndo kanzisha mm nilikuwa nimetulia atajuta na atawachukia wanaume kinyama yani kwa iyo bhana broo mwanamke asikumize akili awo wapo wangii sana ila usimuache mkeo we muoneshe action tuu na umuoneshe uanaume wako usimpige wala nn jas show her action bac we cheza na akili yakee tuu vitu vidogo ivyo visikumize kichwa uwa nawatafutaga wanawake wa jinsi iyo mbn mm kwangu awaji.....!!!!
 
Back
Top Bottom