Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
🤣🤣🤣 Haya majibu yanatosha2. My guy my guy!! Uko na cheti cha ndoa?
Anachomaje nguo za mwenzake? Ukute mkaka alijipinda akaingia maduka ya wool worths?Aisee. Mwanaume asipomuogopa Mungu ndo mambo yanakuwa hivyo.
Nikisema kumuogopa Mungu sisemi kujua Maandiko, hata Shetani anafahamu vizuri sana kuliko mwanadamu yeyote.
Sema ulikosea sana kuchoma nguo zake. Ungemove on tu.
Huogopi kuchomewa nguo? 😂Njoo kwangu Mrembo.
I will never betray you Love.
Aisee. Inashangaza sana.Anachomaje nguo za mwenzake?? Ukute mkaka alijipinda akaingia maduka ya wool worths?
Si angelia tu jamani? Kama alikuwa na hasira sana?
Ukute anachoma nguo afu ye mwenyewe ni mwenzetu wale tunapelekega boxer na saa na soksi.