Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
We kuweza hizo childish stuffs??🤣🤣🤣 Haya majibu yanatosha
My guy this my guy that una cheti cha ndoa?? Ukute huyo my guy anakuona kama Ex 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kuweza hizo childish stuffs??🤣🤣🤣 Haya majibu yanatosha
For real🤣.We kuweza hizo childish stuffs??
My guy this my guy that una cheti cha ndoa?? Ukute huyo my guy anakuona kama Ex 🤣🤣
Hiyo michepuko uliyoipiga Simu ndio itakayochukua nafasi yako baada ya wewe kupigwa chini.Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
Ni kweli eti 😀😀For real🤣.
Hiyo sentence ya mwisho ni kali sana😢💔😂
😂😂Ni kweli eti 😀😀
Unaweza kuwa na mtu unadhani mko ktk mahusiano, kumbe alishamove on. Kakuacha pale anasubiri ukengeuke tukio moja tu, kwaheri official.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kama nimekuona vile ulivyoukunja uso na kuziweka lips zako kiutata ulivyokomentWe ni mwehu eti?
Wanawake wote wanaotafuta wanawake wenzao kisa wameona wako na bwana zao ni hamnazo.Sasa unatukana.hao wanawake wa watu wamekukosea nini dear?
Hisira hasara! Ungesubiri kwanza arudi umuulize. Huenda hao warembo ni binamu zake wanataniana au ni marafiki tu wa kawaida.Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
Ajiandae kukusanya vifurushi vyake aondoke kwao kabla huyo "my guy" hajarudi mana akirudi kivumbi kitatimka!!1. Ur username doesn’t deserve you.. ibadili ASAP.
Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Vijana wana roho ngumu Sana kwa hiyo picha ulivyo Kisha mtu akusaliti, nashindwa kuelewa...Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
A month ago niliona kijana Twitter analalamika demu wake kaenda kunyea getoni kwake na kuharibu kila kitu ndiyo wewe ?Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
Wanawake wa siku izi wanatuharibia sana kesi zinakuwa nyingi ukichati nae tu kidogo anaanza kukuita wanguNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
🤣😂😂🤣.Wanawake wote wanaotafuta wanawake wenzao kisa wameona wako na bwana zao ni hamnazo.
Mimi siwezi hiyo biashara aisee
Natakiwa nideal na mwanaume.. ukute mwanaume alishaniacha 😃😃 nipate aibu ya kujitia kimbelembele kugombana na watu. Lol