[emoji23][emoji23][emoji23] D we ni chizi nimecheka sanaa2. My guy my guy!! Uko na cheti cha ndoa?
Akirudi na yeye mchome moto azifuate nguo zake anazozipenda.Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I donβt know what to do or how to act.
Wee ni kungwi nyakangaa mmoja matraaatraaa sanaaaa! Hakiii mumeo hawezi hangaika kuchatishwa na vimbugila mbugila udugu!Mmekimbia kijiweni km lisaa limepita, vipi mmefikia wapi?? Naona mnaanza kupanga kufanya mchezo mbaya π€£π€£π€£π€£
Me najulia wapi wewe ndo kungwi lao
Fasihi kali sana imetumika humo.Yaani sijaelewa chochote
π€£!Halafu huyu atakuwa kimbaumbau huyu ndyo mambo yao..roho mbaya kumchomea mwenzio nguo
π³π³π³π³π³π³π³π³Hana meno huyo ujue.... π π π π
77 December bana usinizeeshe. Bado niko 76! πππSasa 77yrs mdg wangu..usije meza fizi zake kabisa... π€£ π€£ π€£
wacha we!Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I donβt know what to do or how to act.
Hujakosea hata kidogo. Hata mimi nilisema hivyo hivyo. Vimbaumbau kwa gubu, kisirani, wivu na mtiti ndo vyenyewe (japo siyo vyote!) πππΏββοΈHalafu huyu atakuwa kimbaumbau huyu ndyo mambo yao..roho mbaya kumchomea mwenzio nguo
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!77 December bana usinizeeshe. Bado niko 76! πππ
Kumbeee π€£ π€£77 December bana usinizeeshe. Bado niko 76! πππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] embu mwambieniNguo zilivyopanda bei hivyo we unachoma tu
Nguo za wakaka unajua bei yake???
Hapo ukute hujawahi kumnunulia hata boxer.....my guy ya nyoko
Sijui yupoje huyu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] embu mwambieni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu hana hati miliki juu ya mwenzie mara ashaanza kuchoma choma nguo, wengine wanapasua tv etiWee kigi vyeti ndio nini kwa mfano! Wenyewe wanaliaa[emoji1783]!
Wenye nyama nyama zetu mshakuja sasa, haya wataalam fanyeni analysisHalafu huyu atakuwa kimbaumbau huyu ndyo mambo yao..roho mbaya kumchomea mwenzio nguo
Lazima maana hawa wakosa nyama Wana matukio yao personalHujakosea hata kidogo. Hata mimi nilisema hivyo hivyo. Vimbaumbau kwa gubu, kisirani, wivu na mtiti ndo vyenyewe (japo siyo vyote!) πππΏββοΈ
View attachment 2783817
Huyu akiolewa atachoma nyumba na watoto na mumewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu hana hati miliki juu ya mwenzie mara ashaanza kuchoma choma nguo, wengine wanapasua tv eti
Hivi bastola zinauzwa wapi