Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Akirudi na yeye mchome moto azifuate nguo zake anazozipenda.
 
Mmekimbia kijiweni km lisaa limepita, vipi mmefikia wapi?? Naona mnaanza kupanga kufanya mchezo mbaya 🤣🤣🤣🤣
Me najulia wapi wewe ndo kungwi lao
Wee ni kungwi nyakangaa mmoja matraaatraaa sanaaaa! Hakiii mumeo hawezi hangaika kuchatishwa na vimbugila mbugila udugu!
 
Yaani sijaelewa chochote
Fasihi kali sana imetumika humo.
Ni kwamba kuna dem nlikua naye akakuta mazungumzo yangu na mama mtoto wangu akafanya ya kufanya mwisho kassurender
 
Mods hawachelewi kuedit title..." nimekuta sms za my guy......"🤠!
 
Kwani ulikagua ili ugundie nn,mnapataga wapi muda wa kukagua simu za vijana wenu Lkn?
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
wacha we!
 
Halafu huyu atakuwa kimbaumbau huyu ndyo mambo yao..roho mbaya kumchomea mwenzio nguo
Hujakosea hata kidogo. Hata mimi nilisema hivyo hivyo. Vimbaumbau kwa gubu, kisirani, wivu na mtiti ndo vyenyewe (japo siyo vyote!) 😁🏃🏿‍♂️

Screenshot_20231016_171612_Chrome.jpg
 
Nguo zilivyopanda bei hivyo we unachoma tu
Nguo za wakaka unajua bei yake???
Hapo ukute hujawahi kumnunulia hata boxer.....my guy ya nyoko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] embu mwambieni
 
Wee kigi vyeti ndio nini kwa mfano! Wenyewe wanaliaa[emoji1783]!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu hana hati miliki juu ya mwenzie mara ashaanza kuchoma choma nguo, wengine wanapasua tv eti

Hivi bastola zinauzwa wapi
 
Back
Top Bottom