Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Sasa unatukana.hao wanawake wa watu wamekukosea nini dear?

Mamlaka yakuchoma.vitu vyake umepata wapi rafiki?Una hati miliki nae?
Kabla yako alikua na mtu na labda wakati wako umepita ni wakati wa wengine na yuko huru kufanya hivyo na kwa uliyoyafanya umeongeza speed ya muda wako wa kuachwa.
 
Hiyo michepuko uliyoipiga Simu ndio itakayochukua nafasi yako baada ya wewe kupigwa chini.

Maamuzi ya matendo yako baada ya kuumizwa ndiyo yanayoonyesha ukomavu wako.

Kama umechoma moto nguo inamaana Guy akirudi mnakinukisha upya na si ajabu wewe ndio utaachika jumla.
 
Sasa unatukana.hao wanawake wa watu wamekukosea nini dear?
Wanawake wote wanaotafuta wanawake wenzao kisa wameona wako na bwana zao ni hamnazo.

Mimi siwezi hiyo biashara aisee
Natakiwa nideal na mwanaume.. ukute mwanaume alishaniacha 😃😃 nipate aibu ya kujitia kimbelembele kugombana na watu. Lol
 
Hisira hasara! Ungesubiri kwanza arudi umuulize. Huenda hao warembo ni binamu zake wanataniana au ni marafiki tu wa kawaida.

Sasa unachoma nguo ndizo zilizochati na pisi kali?
 
Vijana wana roho ngumu Sana kwa hiyo picha ulivyo Kisha mtu akusaliti, nashindwa kuelewa...
Njoo kwangu hutapata maumivu ya moyo Wala wivu, nitakujali kama pesa... Ila ukate kucha ni ndefu mno... kwa Hilo sitaweza kuvumilia hata Mimi nitachepuka
 
Hapa acha nipite tu, maana chochote nitakachoandika hapa kulingana na vilivyo kichwani, lazima tu kitawaka kwenye PM huko. Acha nibaki kuwa sina maoni kwenye hili.

Ova
 
A month ago niliona kijana Twitter analalamika demu wake kaenda kunyea getoni kwake na kuharibu kila kitu ndiyo wewe ?
 
Wanawake wa siku izi wanatuharibia sana kesi zinakuwa nyingi ukichati nae tu kidogo anaanza kukuita wangu
 
🤣😂😂🤣.

Ukishajua tu kuwa mapenzi yanachipua na kufa huwezi kuleta vita na mtu ambae hujamuumba wala kumtengeneza wewe awe mali yako.

Hata ukimtoboa macho kama keshakuchoka ni keshakuchoka tu🤣🤣🤣 unawatukana yeye anaenda kuwabembeleza.
Otee mae siwezi🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…