binti kiziwiNB: mke wangu ni mnyaturu π§
Akili Ku m kichwaaa jiongezeeeMkuu nijiongeze nn nambie nifanye kitu
Bodaboda wameshazoea kupokea na kutoa maneno makali 24/7.Atafute mbinu mbadala.Bodaboda apewe onyo tena kali bila hivyo soon kibwenye cha huyo unaesema kwamba ni mke wako ni halali yake
Kama ndio hivyo basi jamaa ataambulia manyoya.Bodaboda wameshazoea kupokea na kutoa maneno makali 24/7.Atafute mbinu mbadala.
Hata manyoya hapati.Yatatengenezwa godoro watu wakalalie mbele ya safari.Kama ndio hivyo basi jamaa ataambulia manyoya.
ukitaka kuwajua wanawake chukua funzo toka hapaNi kheri wakuu....
Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X.
Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU NIMEOLEWA.
Nilipoona sms hiyo nikaamua ichukua namba hiyo na kuiandika kwenye simu yangu nilipoiandika nilishangaa inasoma jina la jiran yangu ni bodaboda ambaye aliishi na mwanamke kama mwaka 1 na nusu alipombebesha mimba akamtema ye akabaki single.
Nilimuamsha mke wangu na kuanza kumuhoji akaanza dai kwamba jamaa ndo alimuanza akimuomba waonane huko kitaa kwenye kubishana wakiwa wanaulizana we nani ndo akagundua ni jirani yetu na alimtongoza ila hajamkubalia.
Nilipomuuliza kwann hukusema na kwann hii namba yake umeisevu X kimsingi alitoa majibu ambayo hayakuniridhisha kabisa. Yule bodaboda hata sjaahangaika naye japo najiuliza sn huo ujasiri kautoa wp wa kutongoza mke wangu na mm ananijua kbs aisee.
Eti wakuu mnaonaje jamaa kashachapa au alikuwa anaelekea kuchapa kama nisingeshituka π€
NB: mke wangu ni mnyaturu π§
Una umri gani mzee wangu?Ndoa boy naomba unipe viashiria kwamba amechapwa baba π€
Anaomba muongozo kamili kama ulivyoandikwa kwenye injili ya maisha ..."how to be a good student of life"...!Una umri gani mzee wangu?
Ni kheri wakuu....